Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Unazungumzia Yesu yupi? Tuanzie hapo kwanza ili tujue hayo makasiriko yako msingi wake ni nini?
 
Elimu ya dini juu ya yesu siyo akili yako bali akili yako ni kile unachobaki nacho baada ya kutoa ellimu ya dini juu ya yesu kama ulivyolishwa na kukaririshwa ambapo kwa mantiki hiyo basi wewe ukiondolewa hiyo elimu ya biblia juu ya yesu utabaki kopo tu.

Ebu jifikirie kati yako wewe Mwafrika uliyelishwa na kukaririshwa yaliyomo ndani ya biblia na mzungu aliyeandika hiyo biblia na kukurusha na kukukaririsha nani hana akili??
We brother pole kwa kusema haya ila uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana.

Hakuna mzungu aliyeandika Biblia mkuu. Pia hakuna mzungu aliyeleta UKRISTO AFRIKA. Ukristo ulikuwepo Afrika kabla ya wakoloni na pia Yesu alikimbilia na kuishi Afrika kabla ya ukoloni.

Askofu wa kwanza wa Kanisa la Afrika alikuwa Mathayo yule mwandishi wa Injili ya Mathayo Na ndiye aliyeanzisha kanisa pale ETHIOPIA pia na Alexandria Misri. Yule Mjoli wa Bwana aliuawa huku Afrika na hii ilikuwa kabla ya UKOLONI kuja Afrika.

Wanafunzi wale wa Yesu walioandikwa kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume na Injili walikuwepo na waafrika pia akina NIGER pamoja na Simon Mkananayo. Pia hata Kornelio alikuwa mweusi na hii inathibitisha Ukristo ulikuwepo Libya, Misri na maeneo mengine ya Afrika Kaskazini kabla ya ukoloni.

Nakushauri usome history ya haya mambo kabla hujaandika mbele za watu mkuu
 
Dini zetu za kweli tuliziacha tukafata matatizo, huyo mjapan anayetutengenezea mashangingi tunayojidai nayo ni mkristo au mwislam? Tukiumwa tunakwenda kutibiwa na waabudu ng'ombe wahindi.Kitu bora kwetu ni kujengewa kanisa au msikiti ili tuendelee kuwa mazezeta zaidi
Fikra za watu weusi zimefungwa kwenye haya madini..na wenye akili km kina Kagame wanegundua
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Wakati amezaliwa mfalme aliagiza wasakwe watoto wote wa kiume na lakini kwa maagizo ya Mungu alikuja kujificha Africa.
 
Mungu, mweza wa yote, aliyeumba vyote kwa kutamka tu (isipokuwa kwa mwanadamu), alishindwa kutamka neno ikabidi achukue njia ndefu (na ya hovyo), kuingia ktk tumbo la mwanamke bikira, akajizaa, akatengeneza mazingira ya kuuawa, akajifufua (kisiri), akajipaiza kwenda mbinguni akiwaahidi wafuasi wake kuwa atarudi kabla baadhi yao hawajaonja mauti. Wote walishakufa na bado hajarudi! Licha ya njia hiyo ndefu ya ukombozi, bado dhambi imetamalaki na mwanadamu bado anahitaji ukombozi. Religion is the biggest lie ever told!
asiyeamini na kubatizwa atahukumiwa, kuwa na imani uokoke usiwe mkaidi usiyetii neno la Mungu
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Mara mojamoja uwe unaweka hata mistari ya Bibilia kusapoti hoja zako uonekane mtu
 
asiyeamini na kubatizwa atahukumiwa, kuwa na imani uokoke usiwe mkaidi usiyetii neno la Mungu
Dini za vitabu zinatumia vitisho kudhibiti wafuasi wao. Natakiwa niamini dini ipi katı ya zaidi ya 10,000 zilizopo? Kama kubatizwa ndo kigezo cha kuokoka, kuna mabilioni ya watu hawataokoka, na sio kosa lao, ni kuwa tu hawajakuzwa kwenye Imani yako
 
Wewe nani alikwambia YESU alikuwa Mzungu au Myahudi?

YESU hakuwa na baba, sasa unampaje taifa-race?

Wakuu hii mambo ya kupinga Mungu kupinga dini wengine wanapinga ndoa.

Kuna kitu gani kibaya ikiwa mtu anaufuata Ukristo, hata kwa Waislam (sema inapaswa wamkiri YESU), hao watu wana shida gani?

Haya walioacha kufuata dini, wanashabikia kila aina ya mabaya, angalia hata hao wazungu walioacha dini saivi wanafanyaje.

Hatuna chanzo cha nguvu isipokuwa Mungu, sasa niambie unapolala usiku au muda wowote nani huwa anakupa nguvu za kuamka?

Mbona simu yako ukiizima huwa haijiwashi mpaka uiwashe?

Sasa, Mungu alisema Katika amri zake
"Tusiwe na miungu mingine ila Yeye"

Unaelewa maana ya miungu? Unaelewa kuwa miungu inaweza kufanya kazi zinazomkaribia Mungu muumbaji, ila haiwezi kumshinda?

Watu waache kumpinga Mungu, watatue matatizo yanayowakabili, sio unapitia magumu kwenye maisha unaanza kumkasirikia Mungu.
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??

“Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi."
— 2 Timotheo 2:23 (Biblia Takatifu)

swali lako linaangukia hapa.
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??

“Lakini maswali ya upuzi ujiepushe nayo, na nasaba, na magomvi, na mashindano ya sheria. Kwa kuwa hayana faida, tena hayana maana.
”
— Tito 3:9 (Biblia Takatifu)
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Tuanzie hapo kwanza. Una uthibitisho gani kuwa ni mzungu?
 
Back
Top Bottom