HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #61
Katika vitu wazungu hawafanyi ni kufuta Historia ya jambo lililotokea . Wakati Yesu anafanya harakati za Kutangaza ufalme wa Mungu palikua na waandishi wa habari wa mfalme wa Rumi. Walikua wakiripoti na kusimulia kila tukio lilikua linafanywa kwenye majimbo yote ya utawala wake. Hakuna mwandishi angeweza kuripoti tukio la uongo .
Ndio maana Warumi walifuatilia kwa karibu sana habari za Yesu . Walihifadhi sana tarifa za Yesu na baadae wakagundua Kuwa ni mtu aliyeuawa kinyume cha sheria yaani hakuwa na kosa kulingana na sheria za Kirumi .
Wale wanaofikiri Kuwa Biblia ni kitabu cha kutunga ni waongo maana dunia nzima haiwezi kuishi kwa uongo kwa miaka 2000 wakati watu wanafanya tafiti kwa uhuru na kwa wazi.
Wayahudi wasingeweza kumwamini Yesu kwa sababu Mungu aliwafungia macho ya rohoni ili wasimwamini kwani wangemwamini asingekufa msalabani na asingeteswa maana wangempigania na wangeanzisha harakati za kueneza ukristo dunia nzima kwa kumpigania kwa vita na upanga . Wangempigania mfalme wao kwa nguvu kubwa sana lakini pangetokea vita kali sana kati ya Warumi waliokua watawala na wayahudi wenyeji . Jeshi lote la Rumi lingehamia pale na Jeshi la Mbinguni lingeshuka kuwaangamiza wote .Yesu alikua na Mamlaka ya kuagiza jeshi la malaika likashuka kupigana.
Yesu hakuja kutumikiwa bali kutumikia,hakuja kuua bali kuponya ,hakuja kuangamiza bali kuokoa.
Kwahiyo unakubaliana ma yooote yaliyo ndani ya biblia kuwa ni ya kweli mtupu ma siyo uongo na tafiti zote zilizofanyika juu ya biblia moja wapo uliifanya wewe kuwawakilisha Waafrika na tafiti nyingine walifanya wazungu.
Katika utafiti ulioufanya wewe wa kuthibitisha ukweli ni pamoja na biblia kuwa na majina ya kizungu tu na kuelezea habari za wazungu tu na siyo wewe Mwafrika na mema yote wamefanya wazungu,eti!!
Je, hicho kitabu cha quruan wanachokiabudu wajinga wenzio hakisemi ukweli na hakijafanyiwa utafiti wowote kusema ni cha mungu na je wanaokiabudu siyo Watu wa Mungu na hawana thamani mbele ya MUNGU ila wewe tu unayeabudu biblia?
My friend situka acha kuwa mtumwa wa kifikira hiyo biblia ina copyright/hatimiliki na wewe huruhusiwi kunadili au kupunguza au kuongeza chochote utashitakiwa na hasa wewe Mwafrika usiyejitambua
"Scripture quotations taken from The Holy Bible, New International Version® NIV®
Copyright © 1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.
Used with permission. All rights reserved worldwide."
Kula hicho chuma biblia siyo mali ya MUNGU wala Mwafrika ni mali ya mzungu na hao mdiyo wanahakimiliki kenge wewe