Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Halafu we jamaa tangu juzi unaandika nyuzi za hovyo sana, hebu Kaa hata wiki utulize akili kisha Rudi tena JF inawezekana ukaja na nondo za maana. Yesu ni kwa ajili ya Dunia nzima. Ukimuamini tu unakombolewa, hajaja kwa ajili ya wazungu pekee ila kwa watenda dhambi wote ili waachane na dhambi wamrudie Mungu. Yoh 3:16
 
wangemwamini asingekufa msalabani na asingeteswa maana wangempigania na wangeanzisha harakati za kueneza ukristo dunia nzima
Sasa ndugu, kufa Yesu msalabani ni jambo la maana sana kuliko kumlinda Yesu aendelee kuikomboa Dunia?
 
Kufa ndio jambo la Heri kwa sababu atakua mjumbe wa amani ya Dunia nzima .

Kufa kwake na kufufuka kuliamsha morali mkubwa sana wa kupigania Uhuru na haki kwa kutumia ushawishi na maombi pekee bila upanga,jambo lililowashtua sana wafalme wa Dunia walioitawala dunia kwa upanga na kuua watu wengi sana .Kufa kwake kuliwafanya wafalme wenye nguvu kuweka Misingi ya amani bila kutumia nguvu . Watu wakadharau kifo na kutoogopa kufa .

Biblia chini ya Ngano jipya la Yesu Masihi imekua ni Mwangozo wa kila kitu duniani .Hata vyama vya siri kama Iliminant ,Jesuit na Freemason wanafanya mambo yao kwa kuibia ujasiri wa Yesu wa kuubadili ulimwengu.

Hata Mussa hakupigana vita kutoka Misri bali Mungu alimkomboa yeye mwenyewe kwa kupitia Damu waliyochinja kondoo wakati wa Passover na kusababisha vifo vya watoto kwa kila familia .
Mussa angepigana yeye basi wasingemuamini sana Mungu kwani wangeona Kuwa wameshinda kwa nguvu zao wenyewe.
 
Kwahiyo Yesu sio Mungu

😃😃😃😃Hilo ni somo jingine maana kama alitoka kwa Mungu , aliitwa Mwana wa Mungu ,Alikua na uwezo wa kuumba, alikua anatumikia na malaika ,alikua ana Mamlaka mbinguni na duniani ,alikua na uwezo wa kuponya ,alikua na uwezo wa kufufua wafu ,alikua na uwezo wa kutakasa ,alikua na uwezo wa kusameshi Zambi na alikua na uwezo wa kumpeleka mtu peponi .
Alipokua pale Msalabani alimwambia Yule mhalifu aliyeomba Msamaha kwamba Leo hii tutakua wote peponi .
Bila shaka ukimwita Mungu sio dhambi kwa sababu Mwenyezi Mungu aliye asili ya kila kitu ndiye aliyempa Mamlaka hayo ya kimungu .
Ni sawa na kumwambia Mkuu wa mkoa Kuwa wewe ndiwe Rais wa mkoa huu kwa sababu Mamlaka yote ya ulinzi na usalama kwenye mkoa yapo chini yake mpaka Rais mwenyewe aliyemteua atakapokuja.
Na ukimdharau eti kusema Kuwa eti hastahili Kuwa rais wa mkoa kwa sababu katiba haimwiti Rais hapunguzi wala kuondoa Mamlaka yake .

Yesu Kuwa Mungu au kutokuwa Mungu hakubadili wajibu wa binadamu katika kutenda mema na kuheshimu asili na uumbaji wa Mungu .
Hakuna aliyemuona Mungu ila Mwana ambaye ni Yesu . Yeye ndiye aliyechukua Sura ya Mungu na kuja kwetu kutueleza Mungu alivyo . Alituonyesha kuwa Mungu ni mpole mvumilivu sana ,ana upendo mkubwa sana,ana huruma sana . Anafanya mambo yake kwa mapenzi yake mwenyewe .
 
Acha uongo dogo. Hata kama mna movement yenu ila msiijenge katika uongo.

Uyahudi mkuu ni utambulisho wa utaifa lakini pia ni utambulisho wa kidini.

Wayahudi kama dini ni kweli hawakumpokea Kristo ila wayahudi kama taufa wapo waliompokea Kristo toka enzi na enzi na ndio maana kulikuwa na mitume wa Kiyahudi kama utaifa.

Pili uwepo wa Yesu duniani ni kweli na ushahidi wa kimazingira hadi sasa upo mkuu. Acha kupotosha jamaa yangu.

Kwahiyo unakubali uwepo wa yesu kwa ushahidi wa kimazingira uliousoma kwenye biblia na kukana uwepo wa dini ya ASILI ya WAAFRIKA/WAASISI wajo pamoja na kuwepo ushahidi wa moja kwa moja ikiwemo uwepo wako wewe mwenyewe kama ushahidi wa Mwafrika??

Huwezi ukashuhudia mambo ya kwenye biblia usiyoweza kuyathubitisha kwa uhalisia wake ukaacha kushuhudia mambo ya wa Afrika unayoweza kuyathibitisha kwa kuyaona na kuyafeel ndani ya UTU wako

Jikomboe kifikira acha kuwa na fikira mgando zilizopitwa na wakati.
 
Kufa ndio jambo la Heri kwa sababu atakua mjumbe wa amani ya Dunia nzima .

Kufa kwake na kufufuka kuliamsha morali mkubwa sana wa kupigania Uhuru na haki kwa kutumia ushawishi na maombi pekee bila upanga,jambo lililowashtua sana wafalme wa Dunia walioitawala dunia kwa upanga na kuua watu wengi sana .Kufa kwake kuliwafanya wafalme wenye nguvu kuweka Misingi ya amani bila kutumia nguvu . Watu wakadharau kifo na kutoogopa kufa .

Biblia chini ya Ngano jipya la Yesu Masihi imekua ni Mwangozo wa kila kitu duniani .Hata vyama vya siri kama Iliminant ,Jesuit na Freemason wanafanya mambo yao kwa kuibia ujasiri wa Yesu wa kuubadili ulimwengu.

Hata Mussa hakupigana vita kutoka Misri bali Mungu alimkomboa yeye mwenyewe kwa kupitia Damu waliyochinja kondoo wakati wa Passover na kusababisha vifo vya watoto kwa kila familia .
Mussa angepigana yeye basi wasingemuamini sana Mungu kwani wangeona Kuwa wameshinda kwa nguvu zao wenyewe.

Hivi kama kweli yesu alikufa na kufufuka kwanini hakusalia hapa duniani kushuhudia ufufuko wake hadi aende tena kujificha kusikojulika?
Kulikuwa na ulazima gani wa yesu kufufuka halafu arudi kwa Mungu kama siyo uongo na ujinga uliotungwa na wazungu ili kuwapumbaza WAFIA DINI?

Kwanini isitokee kwa viumbe wengine mbwa,samaki,miti,nk ife na kufufuka tena ma kurudi kwa Mungu na viumbe hao wabaki wakimsubiri aje kuwachukua?

Utumwa ulio nao wa KIFIKIRA ni mzigo kwako,jitambue!!
 
Viumbe vyote vitarudia kwa aliyeviumba .
Dunia ni sehemu mbaya sana ya kuishi . Sehemu ambayo unakula chakula kitamu halafu unakunya mavi ambayo huwezi hata kuyagusa😂😂😂😂😂😂.
Dunia ni sehemu ambayo vitu vyote vinavyopendwa sana ni vibaya mpaka visafishwe na kutakaswa . Mfano **** bila usafi ni chafu sana na haifai kukaa usoni ,****** au matamko yanapandwa lakini yanapitisha mavi yanayonuka sana.

Mfano wa chakula kama Samaki ni mtamu lakini ana shombo , Kuku ana shombo ,mayai yana shombo .

Ni asili pekee na maziwa ndicho kitu kitamu kisicho kera na vyote havitikani na binadam . Ndio maana tukaambiwa Kuwa mbinguni kutakua na asali na maziwa .

Binadamu hapa duniani ni daraja la viumbe vyenye mwili kukaa kwa muda . Makazi na sayari aliziumba Mungu ni nyingi sana kuliko idadi ya viumbe vyote kwa pamoja hivyo ni haoni hasara viumbe vyote kwenda kuishi huko katika miili mingine na roho zisizo na uasi ?
Yesu hakustahili tena kuendelea kukaa kwenye Dunia hii kutokana na kuwa na Roho iliyokua katika Daraja la juu sana . Dunia ina uharibifu mkubwa kutokana na viumbe waliopo ni kama gereza la wahalifu .
Ametoka ili viumbe vyote vipate nafasi ya kuingia katika utakaso na kuhama katika ulimwengu huu na kwenda katika daraja lingine .
Kitu alichokiumba Mungu kamwe hakiwezi kupotea kabisa bali kinabadilika kutoka katika mada moja kwenda mada nyingine .Ndio maana shahawa tu kama maji maji zinakutana na yai dogo sana kwenye tumbo la mwanamke na kutokea Mtoto ambaye anakua mtu na kuendelea kufanya mambo kama mtangulizi wake .
 
Hizo ni prpaganda tu, yesu ana uhusiano gani na mbungu, mkara, mmang'ati, mmakonde nk? Halafu awafie ili iweje?
Yesu ni Mmasai .
Na amezaliwa katika jamii ya wafugaji wa kimasai .
Alizaliwa kwenye zizi la Ng'ombe .
Wazungu sio wafugaji wa kufuga maporini usiku na mchana .
Wazungu hawavai mashuka , Wazungu hawatembei na sime kama yule mwanafunzi wa Yesu aitwaye Petro aliyetoa sime na kumkata mtu sikio .
Hata hawa waarabu Koko wa leo wengi ni mchanganyiko wa wagiriki na waafrika lakini sio wale watoto wa Ismaili aliyekua mtoto wa dada wa kiafrika yaani alikua mtoto wa kimaasai .

Watoto wa Yakobo walimuuza ndugu yao huko Misri.
Yaani Wazungu hawajawahi kuuzwa kuwa watumwa wa waafrika na hawana soko maana hawana nguvu ya kufanya kazi kama watumwa kwenye jangwa na kazi ngumu.
Bila shaka Yusuf alikua Mwafrika .

Waafrika Ni lazima tujivunie Kuwa Na Yesu mkombozi wa dunia nzima mpaka wazungu.
 
Spirituality versus Christianity ( Entrepreneurship ).
Mkojani shusha Lecture DR Mambo Jambo
Hahaha
Mkuu Hakuna Mtu anayechukua Dhambi ya Mtu mwingine!
Hizo ni Hadithi Za Kipagani..

Biblia Yenyewe inakataa..

Agano la Kale..

  • Ezekieli 18:20

"Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake mwenyewe, na uovu wake mwovu utakuwa juu yake mwenyewe."

  • Yeremia 31:29-30

"....... Bali kila mtu atakufa kwa uovu wake mwenyewe.....

  • Kumbukumbu la Torati 24:16

"Baba wasiuwawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuwawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu atauawa kwa dhambi yake mwenyewe."

  • 2 Wafalme 14:6 (pia 2 Mambo ya Nyakati 25:4)

"Lakini watoto wa wale waliomwua baba yake hakuwaua; kama ilivyoandikwa katika kitabu cha torati ya Musa, kama Bwana alivyoagiza, akisema, Baba wasife kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasife kwa ajili ya baba zao; bali kila mtu atakufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe."

haya Tuamie Kwenye Agano Jipya Sasa Linasemaje..

  • Wagalatia 6:5
"Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe."

  • Wagalatia 6:7
"Msidanganyike; Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna."

Basi Nimelizie Kwa Kukuandikia Nukuu Ya Habari Moja maana Wapo watakuja waanze Kusema Maandiko Haya Sijui Soma na Roho mtakatifu Sasa Nakupa Nukuu ya Kuwajibu..

1 Wakorintho 14:36-38

"Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu? Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga."
 
Aliyeletwa kwa ajili yao walimkataa. Jiwe walilolikataa waashi.....
 
😃😃😃😃Hilo ni somo jingine maana kama alitoka kwa Mungu , aliitwa Mwana wa Mungu ,Alikua na uwezo wa kuumba, alikua anatumikia na malaika ,alikua ana Mamlaka mbinguni na duniani ,alikua na uwezo wa kuponya ,alikua na uwezo wa kufufua wafu ,alikua na uwezo wa kutakasa ,alikua na uwezo wa kusameshi Zambi na alikua na uwezo wa kumpeleka mtu peponi .
Alipokua pale Msalabani alimwambia Yule mhalifu aliyeomba Msamaha kwamba Leo hii tutakua wote peponi .
Bila shaka ukimwita Mungu sio dhambi kwa sababu Mwenyezi Mungu aliye asili ya kila kitu ndiye aliyempa Mamlaka hayo ya kimungu .
Ni sawa na kumwambia Mkuu wa mkoa Kuwa wewe ndiwe Rais wa mkoa huu kwa sababu Mamlaka yote ya ulinzi na usalama kwenye mkoa yapo chini yake mpaka Rais mwenyewe aliyemteua atakapokuja.
Na ukimdharau eti kusema Kuwa eti hastahili Kuwa rais wa mkoa kwa sababu katiba haimwiti Rais hapunguzi wala kuondoa Mamlaka yake .

Yesu Kuwa Mungu au kutokuwa Mungu hakubadili wajibu wa binadamu katika kutenda mema na kuheshimu asili na uumbaji wa Mungu .
Hakuna aliyemuona Mungu ila Mwana ambaye ni Yesu . Yeye ndiye aliyechukua Sura ya Mungu na kuja kwetu kutueleza Mungu alivyo . Alituonyesha kuwa Mungu ni mpole mvumilivu sana ,ana upendo mkubwa sana,ana huruma sana . Anafanya mambo yake kwa mapenzi yake mwenyewe .
Mkuu umezunguka sana wakati swali ni rahisi
 
Viumbe vyote vitarudia kwa aliyeviumba .
Dunia ni sehemu mbaya sana ya kuishi . Sehemu ambayo unakula chakula kitamu halafu unakunya mavi ambayo huwezi hata kuyagusa😂😂😂😂😂😂.
Dunia ni sehemu ambayo vitu vyote vinavyopendwa sana ni vibaya mpaka visafishwe na kutakaswa . Mfano **** bila usafi ni chafu sana na haifai kukaa usoni ,****** au matamko yanapandwa lakini yanapitisha mavi yanayonuka sana.

Mfano wa chakula kama Samaki ni mtamu lakini ana shombo , Kuku ana shombo ,mayai yana shombo .

Ni asili pekee na maziwa ndicho kitu kitamu kisicho kera na vyote havitikani na binadam . Ndio maana tukaambiwa Kuwa mbinguni kutakua na asali na maziwa .

Binadamu hapa duniani ni daraja la viumbe vyenye mwili kukaa kwa muda . Makazi na sayari aliziumba Mungu ni nyingi sana kuliko idadi ya viumbe vyote kwa pamoja hivyo ni haoni hasara viumbe vyote kwenda kuishi huko katika miili mingine na roho zisizo na uasi ?
Yesu hakustahili tena kuendelea kukaa kwenye Dunia hii kutokana na kuwa na Roho iliyokua katika Daraja la juu sana . Dunia ina uharibifu mkubwa kutokana na viumbe waliopo ni kama gereza la wahalifu .
Ametoka ili viumbe vyote vipate nafasi ya kuingia katika utakaso na kuhama katika ulimwengu huu na kwenda katika daraja lingine .
Kitu alichokiumba Mungu kamwe hakiwezi kupotea kabisa bali kinabadilika kutoka katika mada moja kwenda mada nyingine .Ndio maana shahawa tu kama maji maji zinakutana na yai dogo sana kwenye tumbo la mwanamke na kutokea Mtoto ambaye anakua mtu na kuendelea kufanya mambo kama mtangulizi wake .

Kama yesu alikuwepo hapa duniani na hakustahili kukaa hapa duniani iweje aondoke na kuwaacha watu aliokuja kuwaokoa?

Acha ujinga na ukue wewe ni above 18 anza kuwa na fikira chanya sasa,Mungu hakuumba bon-adamu bali aliumba MTU,binadamu ni zao moja tu la ukoo wa adamu ambaye ni mzungu huna undugu naye achana na hadithi za kijinga za kibiblia ni utumwa endelevu umeachowa
 
Mara mojamoja uwe unaweka hata mistari ya Bibilia kusapoti hoja zako uonekane mtu
Wewe mkunembe wa huko kata ya mtomale unahusika kwenye hizi ngano za mashariki ya kati?

1743538943153.png

1743538977018.png
 
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?

Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu.

Kuna Mwafrika yoyote alimuomba Yesu afe kwaajili yake??
Hiv hizi akili ni laana au ni akili mgando?
 
Wewe jiulize tu ni kwa nini Wayahudi wengi hawakumpokea, wewe mwafrika kwa kiherehere chako ukampokea kama mwokozi wako, kichwani tupo sawa kweli! Ulikuwa mchongo wa ajabu ila umeenea dunia nzima! Ni utapeli tu! Hakuna Mungu wa kweli anaemtoa mwanae kafara. Ni binadamu wanatoa kafara kwa udhaifu wao na sio Mungu. "Acheni hizo!!!.
 
Back
Top Bottom