Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Mzee Said Mohamed mtaalam wa Historia ya Mitaa ya Tandamti, Kongo na Msimbazi atatupa majibu soon!
Yule mzee nilikwishamdharau sana. Anataka kupaka rangi kwenye upepo. You can't undo history ya Tanganyika ambayo ndiyo iko kwenye syllabus ya NECTA kwa kuandika vijarida na kupeleka Ulaya kwenye idara za African history za vyuo vikuu vya huko. Hakuna lolote zaidi ya ujahidina Mohamed Said
 
Ipi hiyo? Mimi siijui.
. Wewe unajuwa jina la TANU lilitokea wapi?
 
CCM ilizaliwa mwaka 1977 hiyo taarifa siyo sahihi, CCM ilitokana na muungano wa vyama vya Tanu na ASP.
Waislamu wakati wakudai uhuru waliweka mbele maslahi ya taifa tofauti na makabila mengine Kama wachaga waliotaka uhuru wa peke yao.

Waislamu waliokuwa na Nyerere ni wale waislamu kweli na sio Hawa wanaotanguliza udini mbele na kujiona wao ni daraja jingine.
Uhuru ulichangiwa na watu wengi na Nyerere aliendelea kuwatumia hasa linapotokea Jambo zito aliwaita na kushauriana nao pamoja na kwamba wengi hawakuwa na elimu kubwa walikuwa na hekima na busara.
 
Yule mzee nilikwishamdharau sana. Anataka kupaka rangi kwenye upepo. You can't undo history ya Tanganyika ambayo ndiyo iko kwenye syllabus ya NECTA kwa kuandika vijarida na kupeleka Ulaya kwenye idara za African history za vyuo vikuu vya huko. Hakuna lolote zaidi ya ujahidina Mohamed Said
Binafsi simkubali kabisa na historia yake ya hovyo!
 
Mkuu, vuta subra. Kitabu cha kumbukumbu za Joan Wickens kilichozinduliwa DSM 2023 kitaachiliwa na wachapishaji Oxford University Press mwaka 2036 (miaka 30 baada ya kifo cha Joan).

Omba uhai tu na kumbukumbu njema ya bandiko lako. 🤔😄
Mbona wanakipeleka mbali hivyo miaka 12 mbele!
 
waingereza ndio walimchagua Nyerere , kama ulikuwa hujui !! Mpango wa kuunganisha zenji na Tanganyika Nyerere alipewa maelekezo na waingereza ila sio akili yake ....Unajua kwa nn?

Kumchagua Nyerere ndio mtu pekee alikuwa brainwashed angeweza kuendeleza mipango yao ya kuwa kibaraka "'Puppet'' ....
Nyerere was very smart
 
Back
Top Bottom