Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kisima,Wazee ndani ya chama kipindi hicho hawakuwa na mlengo wa kimakundi kama siasa za siku hizi.
Kipindi hicho dhima na mikakati ya chama ilikuwa ni kudai uhuru. Hivyo alihitajika kiongozi mwakilishi msomi na mwenye kuweza kusimamia kile anachotamka kwa hoja zenye nguvu. Kwa muktadha huo, ni wazi Sykes asingetosha kuvaa kiatu na athubutu kama kiongozi msomi Nyerere.
NB; Siioni mantiki ya kuichepusha hii mada kwenye malumbano ya dini.
Halafu ieleweke wazi Nyerere alikuwa na connection kubwa ya wasomi wenzie ambao nauhakika Sykes wengi hakuwa akiwafahamu kiundani ukiachana na motive kubwa iliyokuwa ikitoka kwa wazee wa kiislam kutoka k/koo. Na nnaamini wazee hawa hawakuutanguliza uislam wao mbele kama jinsi anavyo tuaminisha mzee Mohammed Said kwenye machapisho yake.
Thread 'Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya' Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya