Nakubaliana na wewe mkuu.Yete alijua Urais ni mwepesi tu na akaingiza watu wote wapuuzi ambao mwenzake aliwakataa! Alifanya mambo kwa sifa kumprove wrong JPM wakati hata viatu vyake havimtoshi!
Nadhani ndiyo kitu pekee anaweza kuteua pekeeAtaondoka huku bado anatoa maagizo ya kuteua kwa wenge
Magufuli RIP alikuwa ni kiongozi sahihi wa nchi hii mbali na makosa yake mengine ambayo yatajwa na bado hayajawa "proved".Nakubaliana na wewe mkuu.
Ila hadi sasa atakuwa anajua kwanini hayati wengine aliwakata.
Exposure bila maarifa hukufanya uonekane wa kawaida sana.
Waziri wa mambo ya nje na wizara yake ni alama (image ya nchi) huko nje na hutakiwa kuwa amesimama.
Ila kwenye hili (la kutolewa uwaziri) hakuna anaefahamu chanzo.
Mkuu, umeshindwa kuelewa nimetumia neno maarifa kwa maana ipi?Kwamba hana maarifa una maanisha maarifa gani? Hivi mpaka CIA wana ruhusu asogee kwenye 0 parameter kwa rahisi wa Taifa kubwa duniani unafikiria hawajamfahamu ni mtu wa aina gani? Sio kila mtu ana access ya kumsogelea Rais wa taifa kubwa USA.
So, was she a threat?Mkuu its how things are, Boss wants to feel Secure and Safe
Mkuu mpaka unakutana na POTUS jua wewe sio kiazi ni mtu wa daraja jingine.Mkuu, umeshindwa kuelewa nimetumia neno maarifa kwa maana ipi?
Sizungumzii maarifa ya kukutana na Joe Biden au kupata security clearance, maana huko alikwishapita?
Mkuu nime refer swala la jamaa apo juu kuwa why flag bearers wengi hupick running mate ambao uwezo wao uko Chini kimtindo, Mulamula has never been a threat to Our Madam PresidentSo, was she a threat?
Embu nikumbushe kidg Ni kwamaba jiwe aliwahi kumteu Kisha akamtema mwanzo wa mam leberata mulamula Ni upi je aliwakuwa wazir wa maswla ya kigeni kabla ya jiwe kuingia madarakani au jiwe alimteuwa Kisha akamtema Kama kawaida yakeMkuu hayati alimkataa kitambo baada ya kugundua ana uraia U.S ila BI KIZIMKAZI alikuwa anafanya vitu kama vile anamkomoa hayati, kana kwamba hayati alikuwa anawaonea.
Namfahamu sana mama Mulamula na ni "well respected diplomat among UN corridors"Mkuu mpaka unakutana na POTUS jua wewe sio kiazi ni mtu wa daraja jingine.
Yes hata tuliye nae katokea kwenye mfumo huo huo, kwaiyo ni rahisi kupelekeshwa kama gari bovu.
Angalia yule DR wa Atomic sometimes nashindwa kumuelewa ongea yake na ukimya wake kama MPOZAπ
Upo sahihi mkuu. πNdio nilichomaanisha mkuu.
Nadhani ni uoga na kutokutanguliza maslahi ya taifa mbele, wanaangalia watu ambao hawatawafunika kisiasa.
Obama anasema alikuwa alifanikiwa zaidi kwakuwa alizungukwa na watu makini na waliomwambia ukweli bila kuogopa. Mara kadhaa hadharani alikuwa akimsifia Makamu wake na kusema ni mtu asiye na mchezo. Hapa kwetu hili likitokea ujue upo ndotoni na unapaswa kuamka ili usijikojolee au kutafuna godoro.
Sasa tuliyenae katokea huko na yeye kaleta wa kutokea huko, bila kuwa na PM mkali na asiye na mchezo, pole yetu.
Kibaya tena na huyo PM akileta ukali na kuonesha makali ataonekana anataka kung'aa zaidi ya boss na atafurushiwa huko mbali.ππ
Sisi Sukuma gang,tumejikalia pembeni tukiangalia mchezo unaenda.Maana mwanzo tuliitwa wapuuzi na washamba.π·π·πIkumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Hapana alikuwa Balozi kule ughaibuni alijua mienendo yake akampeleka Mashilingi kuwa balozi.Embu nikumbushe kidg Ni kwamaba jiwe aliwahi kumteu Kisha akamtema mwanzo wa mam leberata mulamula Ni upi je aliwakuwa wazir wa maswla ya kigeni kabla ya jiwe kuingia madarakani au jiwe alimteuwa Kisha akamtema Kama kawaida yake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mungu tu ndiye mwenye huo uwezo siyo binadamu. Kufuru hiyo.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile.
Kaufunge uwanja wa ndege ChatoMungu tu ndiye mwenye huo uwezo siyo binadamu. Kufuru hiyo.
Ghalib Bilali [emoji1787]Yes hata tuliye nae katokea kwenye mfumo huo huo, kwaiyo ni rahisi kupelekeshwa kama gari bovu.
Angalia yule DR wa Atomic sometimes nashindwa kumuelewa ongea yake na ukimya wake kama MPOZA[emoji23]
Huoni hata Nyerere (RIP) alivyoshindwa kufanya kazi na Kambona (Rip)......Kitu ambacho ni kibaya sana kwasababu hawapati mawazo kinzani.
Hili umesema ni kweli,angalia hata Marais wote wa hapa Tanzania tu huwa wanateua ma makamu wa rais wa aina gani.
Huwa wanateua wale wenye uwezo mdogo sana kisiasa.