Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Samia yeye tatizo lake aliingia na kufanya maamuzi kwa mihemuko ya magenge ya kihuni kama kina kigogo, akiamini kwamba Magufuli alikuwa anawaondoa watu kwa chuki yeye sasa akawa anawarudisha hovyo tu ili apigiwe makofi
 
Hapo ndo tatizo lilipoanzia!

Mbona Magufuli alimuondoa yule dada mtoto wa Malecela [RIP] akapata shavu nje, kinachoendelea huko serikalini ni muendelezo wa kukumbatia ujinga tu.
 
Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??
Soma Picha vizuri huyo sio Makamu Kamala ni first lady !! Acha mawenge!
 
Usichokijua the outgoing Minister ana exposure kubwa sana kukuzidi wewe na amekuwa ni mwanadiplomasia tokea akiwa mdogo mpaka leo amezeeka.

Kuhusu hoja yako, hatuna uhakika ni kweli alijifanya Mkuu kuliko Mkubwa wake hii ni hearsay tuu maana Mkuu hajasema hivyo.
Keshapigwa chini,mambo ya exposure akafanye kwenye familia yake,I even don't want to know how extensive her exposure is.
 
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na ausmabeberu.

View attachment 2375504
View attachment 2375505
Maushundi ni mkurupukaji na hua hatumii kitu inaitwa comon sense ni mtu wa mihemko tu
 
Huu uamuzi wake ndio unazidi kumuonesha vile alivyo Rais asiyejitambua, ana pretend kutaka mtu wa kufanya nae kazi kwa kuangalia experience, halafu akishampata anakuja kumuondoa kwa kukataa kukubaliana na msimamo wa wengine, Rais anayependa kuzungukwa na kundi la wajinga.
"Raisi anaependa kuzungukwa na kundi la wajinga"
 
Huwezi kumpenda JPM maana wewe unaukabila na ujinga kichwani! Sasa kama JPM ni kiazi Samia atakuwa nani? Si ndi kiazi kabisa kilicho oza!
Ukabila upi wewe tumbili wa saa name?

JPM alikuwa kiazi ndio maana Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa propaganda huku uchumi ukianguka..

Samia ni jembe,hakuna statistics yeyote ya Mwendazake kumzidi Samia hadi dakika hii.
 
Tatizo viongozi wateule wote wanatakiwa kufanya kile rais anataka. Ukijaribu kuja na kitu kipya au ukafanya kazi vile unaona inafaa kufanyika utaishia kupigwa siasa tuu

Hii nchii siasa zimeshazidi utendaji kazi
Utafanyaje kitu kipya bila ruhusa ya boss wako.
Utafanyaje kazi vile unaona inafaa wakati unamaelekezo kutoka kwa kiongozi wako.
Unataka uonekane unajua kuliko kiongozi wako
Huo ni upumbavu.
 
1. NEVER OUTSHINE THE MASTER.
Sijui hawa watu wana fail wapi,fuata maelekezo kuwa mwaminifu sikuzote utakuwa ukipanda ngazi tu za vyeo.
Tamaa ikukuingia kujiona uko sawa na boss hapo ndo anguko linaanza.
 
Ukabila upi wewe tumbili wa saa name?

JPM alikuwa kiazi ndio maana Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa propaganda huku uchumi ukianguka..

Samia ni jembe,hakuna statistics yeyote ya Mwendazake kumzidi Samia hadi dakika hii.
Sawa! Ila Sie tunakujua kwa taarifa yako huyo unaemshabikia ni kilaza tu kama wewe! Wewe huwezi kumpenda mtu yeyote wa kanda ya ziwa! Umejaa ukabila ukanda na kwa taarifa yako ujue maiaka yote kanda ya ziwa ndo nchi iliko hata huyo unaemshabikia ameshakuja kanda ya ziwa mara nyingi zaidi kuliko huko kwenu kwenye majumba ya tope mbeya! Ficha upumbavu wako kabisa wewe kondakta wa magari!
 
Wewe ni rubbish tuu sie tunachanja mbuga.
 
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Kama ana uraia pacha tena wa USA basi hakufaa kuwa waziri wa mambo ya nje. Anaweza kuwa alikuwa anatusinichi kwa hao mabeberu ili wanafanikishe interests zao. Ni vizuri kapigwa chini.
 
Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.

View attachment 2375504
View attachment 2375505
Kwanza tanzania haina uraia pacha. Umaminifu wa mtu unaupimaje?
 
Back
Top Bottom