E bwana ni aje !?? Evelyn Salt mzima!?? mmeshajaaliwa katoto..!!??
Happy Valentine's day my love.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nafanyia kazi kituo cha Chit Chat Broadcasting Corporation kama mwanzishi mwandamizi wa Gazeti la Chit Chat KOKUTONA na taarifa za hapa lazima zifike kwa mwenyekiti hata kabla hajakaa
copy kwa Vin Diesel
Mhhhh wivu sina ila kiroho kinauma ila kwa kipindi hiki sina wivu kabisa maana niko na Mamndenyi hapa nampooza
Ahaaaa ndiyo maaana......Je pia hiyo broadcast yenu inachagulia pia watu wapenzi wa kuwa nao.......
Dah hiyo ban lazima wamekuachia kabla ya mda
You too my VALENTINE
Baba V hivi sisi tujifunze nini kutoka kwako mwenyekiti!!!!!!
make dah! umezidi kila siku wewe au kuna kuna mod unamzunguka???
Happy Valentine's day to you my Super Ex.
I miss u big time....leo twende wapi?
Happy valentine ma dia bakuru....!!!!!!
utakuwa wapi leo.....utakuwa na nani?
Chaguo ni lako hubby....popote utakapopenda kunipeleka honey....
Chagua wewe love......