I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Charter ndio mpango mzima.....ngoja nipigie simu vijana washughulikie.....tumchukue na nani mwingine

Sisi wawili tuuu, wengine watatubana bwaana hatutapumua vizuri lol.

Hii ni special kw ajili yetu....... Mr Rocky upoo, kaandike na hii kwenye gazeti lako.
 
Last edited by a moderator:
Sisi wawili tuuu, wengine watatubana bwaana hatutapumua vizuri lol.

Hii ni special kw ajili yetu....... Mr Rocky upoo, kaandike na hii kwenye gazeti lako.

Unanisumbua bana kunipigia kelele mimi niko na valentine wangu hapa Sasakwa Lodge Serengeti napata wine safi
Wewe KOKUTONA nendeni na fastjet yenu huko kimanzichana sijui mbagala mkapigwe na vumbi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa umenichekesha sana mkuu watu8!!
Hili nitalifungulia thread mpya kulipa uzito unao stahili!

Ukiskia umbea ndo huo mtoto wa kiume, Mwananyamala unavishwa kanga na kikuku mguu wa kulia unapakwa wanja na lipstick unasutwa barabarani mchana wa jua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…