Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo


Huoni kama angetaka kumuondoa ndio kungemfanya akose umakini na kuharibu swala?

Mtume Muhammad (S.a.w) wakati anaswali wajukuu zake Hassan na Hussein walikua wanamdandia na kumrukia wala hakuwahi kukatisha salaa aliendelea, kumbuka alifuga Paka wengi pia,

Hizi Dini sio ngumu kivile.
 
Acheni kukuza mambo, hyo paka anaishi hapo hapo msikitini na amekulia hapo, so amezoeana na watu, isitafsiriwe kuwa ni paka alietoka from no where, so kama amekulia hpo hpo na amezoeana na watu ni ajabu gani sasa kumdandia shekhe?? Mbona hata majumbani kwetu huwa sometimes wanakufuata mpk jikoni na kwingineko ilimradi tu uwe rafiki kwake.
 
 
Huyo ni paka wa msikitini...na huyo Imamu inaonekana ndo mmiliki wake..paka siyo mjinga hawezi kumrukia mtu asiyemjua
Nashindwa kuelewa kinachowashangaza hawa jamaa hapo ninini, mbona ni issues ya kawaida sana coz paka anaonekana ni wa hapo hapo na kazaliwa na kukulia hpo hpo,
 
Mm Huwa na allergies na Paka....kwanza nisinge ruhusu Paka anirukie....πŸ€“

Hofu yangu Kwa Paka HAIJAWAI kunitoka nikiwa mdogo nilikua nalala Dirishani Paka alikimbizwa na Mbwa akarukia Dirishani nikiwa nimelala akaniparua.....

Sijawai wapenda na sitaki hata mazoea Wala kusogeleana Wala kugusa manyoya....
 
Kibongobongo ni haramu si unajua tena Wandengereko na Wamakonde wa Mbagala astakafirulah.
 
Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Sasa hayo si mambo ya walawi? Si wanyakyusa na walawi wapi na wapi?
 
Huyo ni paka wa msikitini...na huyo Imamu inaonekana ndo mmiliki wake..paka siyo mjinga hawezi kumrukia mtu asiyemjua
We umenena halafu eti hajashituka hata kidogo kiufupi wanafahamiana ni vile tu waislamu ni watu wa promo sana.
 
Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
sasa mambo ya Walawi yanatuhusu nini sisi wandengereko?
 
Ntumie
 
Masha-allah

Huu ufafanuzi nimeupende yaan umeongea kwa sauti ya Mufti Abubakari Zuberi vizuri sana Dokta kwa kufafanua vizuri, Ila sio porini tu hata huku uraiani ukibanwa njaa ya kufa na kuna funyango za Nguruwe πŸ– mezani kula 4/5 kukata njaa ya kufa ili usife inaswihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…