Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

Kama wataendelea kubaki na Luis Enrique, sijaona timu ya kuwazuia tena msimu ujao.
Tukutane mwakani!
 
Kama wataendelea kubaki na Luis Enrique, sijaona timu ya kuwazuia tena msimu ujao.
Tukutane mwakani!
Yep, kocha huyu ni kiboko. Halafu mpira wake unasisimua kuliko Guadiola. Hawa wachezaji wengi hawana majina lakini ameweza kuwafanya kila mmoja aonekane kama ni replica ya mwingine. Halafu Arsenal hawana wachezaji wazuri kwa counter attack. Kila walipokuwa wanapata nafasi pass ilikuwa inaenda fyongo.
 
Arteta ni mzee wa Haram ball!!!
 
Ulikuwa mbele ya muda, kongole
 
Hata ile barca prime haijawahi chukua back to back uefa

PSG wanachukua tena kwa mara ya tatu msimu ujao
Jamaa timu yao imekamilika mno.
Nachohofia wasije kuingia sokoni kutafuta replacement ya Marquinhos.
Mara paaap, Saliba njoo nyumbani!!!
 
PSG have a well organized side, highly disciplined and technically competent, that's why they appear to be the strong favourites to defend the title.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…