kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Wewe Ni zwazwaHivi mkuu kama hatuishi kwa kuangalia watu basi kwann hatutembei uchi?hivi atokee mwanaume akwambiye huyu mwanamke ni wangu,,,halafu mwanamke anasema mimi huyu Simjuwi,,,,,halafu mwanaume anachukuwa mwanamke kwa nguvu wewe unatimua mbio,,,aisee wewe ni zaidi ya mwanamke,,,, kwa kifupi hiyo mwanamke anahesabu alikuwa na shoga yake,,,sio mwanaume wake,,,, kama mwanamke atasema hakujuwi,,,kwanza heshima halafu mengine baadae,,,,narudia tena mpumbavu ni yule aliyeanzisha ugomvi,,,,kama mwanamke hakutaki wewe sepa zako....wacha maneno
Najaribu kukuonyesha msisitizo,,,maana umesema huwezi kupigana sababu ya mwanamke,,, kumbuka hata mkeo pia ni mwanamke,,,,, hivi unamkuta mkeo na njemba ,,baada ya kujitambulisha jamaa anampa vibao mkeo,,mbele yako,,,sasa unafanyaje?utatimua mbio?utajibu mapigo?hapo ukipigana utakuwa unapigania mwanamke?mkuu wapo wanaume wapumbavu wa style hyo,,,unasalimu amri na bado unapigwa mbele ya mkeo,,,we fight for honor not for a womanBoss unachanganya mambo na unahama kwenye mjadala, Tofautisha mke na changu/mpenzi.. hapa tunazungumzia mpenzi.
Hakuna mtu atakaekuletea upuuzi huo kwa mke wako, hayupo kabisa
Mimi ni mkurya haswa nilekulia kijijini, nimeshiriki na kuona athari za kupigana ukiwa na hasira.Sio muoga kama unavyofikiri
Man, cha kwanza ukikutwa na kadhia kama hiyo ya jamaa kutokubali kushindwa na kutaka kukudhalilisha, narudia muondoe mwanamke eneo la tukio then jilinde kwa kurudisha mapigo huku ukiomba msaada utakositisha huo ugomvi,, usiendeleze ligi.
Ugomvi wa mapenzi huwa hauiishi kizembe.
Halafu mkuu unachanganya mambo sana, ubakaji umeingiaje hapa tena na kupigana mitama.
umehama kwenye mjadala chief.
Mtu umemkuta anamkandamiza mkeo, pambana kutetea himaya yako.Hahah kwamba ukijambafy nyuma ya keyboard ndio unakuwa kama tyson sio?
Dah Thomas Sankara apumzike kwa amani,. ...shujaa aliyetutokaKabisa chief, binadamu wote ni wa kuwa nao makini sana...wewe ni mbabe wa kivita unajua kilichomkuta Thomas Sankara kutoka kwa rafiki yake mkubwa na aliyemuamini.
Aisee,,,kumbe mikunguru ni mingi aiseeWewe Ni zwazwa
Narudia tena wewe Ni zwazwa
Na inawezekana una demu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuMtu umemkuta anamkandamiza mkeo, pambana kutetea himaya yako.
Or else wewe ni dhaifu, waachie wanaume rijali waendelee kumwaga oil
bhana ushanifanyia shida hapa,..poyee siandiki tena
Kabisa chiefDah Thomas Sankara apumzike kwa amani,. ...shujaa aliyetutoka
hahahaAisee inabidi tujue huyo sauda kawapa nn hao mabaharia mpaka kufikia kuuwana [emoji17] zamani wanawake ndio walikuwa wanalia kwenye mapenzi saiz ni vice versa mara hamida mara huyu sauda tena.
Tupingane kwa hoja mkuu, matusi ni matumizi mabya ya akili na ujinga uliopitilizaAisee,,,kumbe mikunguru ni mingi aisee
Nitaua mtu.. Hakya nani vile..πNimekutumia kwenye email π
Unaweza kunipa tafsiri ya neno zwazwa? halafu utagundua aliyeanza matusi ni naniTupingane kwa hoja mkuu, matusi ni matumizi mabya ya akili na ujinga uliopitiliza
Very true, ... Ndo maana siwezi kulaumu mtu anayechepuka. .lazima Kuna strong reason behind .sema n vile watu hawataki kukubaliana na uhalisianakuambia acha tu kuna mtu akikushika ni kama umepigwa shoti hapo bado hajakukiss wala kukunyonya na bado [emoji533] weweee unajihisi upo angani unapaa kwa raha
hii inatokea kwa watu baadhi sijui damu zinapatana sana au damu yako inakuwa inasisimka ukiwa na huyo mtu sasa huyu mtu akikuacha kumsahau ni tabuuu kubwa
kuna mwingine unampenda tu kawaida lakin husisimki vile hata akikuacha haina shida
Kuna mtu kasema "huo ni UZWAZWA" π€£π€£π€£Nitaua mtu.. Hakya nani vile..π
Mpaka mke wangu kaamua kunisaliti ina maana tayari ameona kuna mambo simfai, Sina haja ya kupigana mpaka hapo.Mtu umemkuta anamkandamiza mkeo, pambana kutetea himaya yako.
Or else wewe ni dhaifu, waachie wanaume rijali waendelee kumwaga oil
Mkuu umeelewa kweli, nanukuu nimesema "Huo utakuwa ni uzwazwa", SIJASEMA WEWE NI ZWAZWAUnaweza kunipa tafsiri ya neno zwazwa? halafu utagundua aliyeanza matusi ni nani
Gunia mbili zinakuhusuKuna mtu kasema "huo ni UZWAZWA" π€£π€£π€£