Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #41
Makonda anajua kuyaburuzaMatanzania nayo ni mazuzu kupitiliza. Yanachangamoto kibao zilizoshindwa kutatuliwa na serikali ya CCM, lakini yakisikia CDM inasemwa na Makonda yanashangilia!!?? Kama mazombi! utadhani labda hayo matatizo yao yameletwa na CDM. Matanzania ni MAZUZU acha yaendelee kuongozwa na MAZUZU tu.
Umezidi uchawa wewe kunguniUnaelewa ziara ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe na Jabali wa siasa na jasiri kusini mwa jangwa la sahara Mheshimiwa Makonda imelenga nini? Imedhamilia nini?
Ngoja nikujibu kwa ufupi tu kulingana na ufupi wa akili yako.
Ziara ya Mheshimiwa Makonda ina lengo kwanza la kukagua utekelezaji wa ilani ya chama.kwa hiyo chama kina angalia namna miradi mbalimbali inayotekelezwa,kasi yke katika utekelezaji wa miradi pamoja na kuangalia uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Pili ni kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi. Kwa hiyo ziara hiyo ya chama inakwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao zote,ikiwa ni pamoja na namna wanavyohudumiwa na serikali yao, changamoto zao zinavyotatuliwa.ndio maana unaona namna ambavyo chama kimeendelea kuwapokea watu wa aina mbalimbali wenye kero na kutatua kero zao lakini katika mchakato huo chama kinatoa maagizo kwa viongozi wa serikali mikoani kuanzisha kliniki ya kupokea na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutatua ,ambapo agizo hilo la chama limetekelezwa haraka sana na kwa sasa kliniki hizo zimeshaanza kazi mikoa yote hapa nchini.
Tatu ziara hiyo imekuwa katika kuangalia uhai wa chama,l wa namna kinavyokubalika, kupendwa,kuungwa mkono na nguvu yake .ambapo chama kimeona kuwa bado kina nguvu kubwa sana ya ushawishi kwa wananchi,bado kinaaminika,bado kinaungwa mkono,bado kinapendwa sana na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu wanamiminika na kufurika kwa wingi sana katika mikutano ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Makonda katika ziara hiyo ya kihistoria hapa nchini.
Kwahiyo usikurupuke katika kuandika vitu usivyo vielewa.ni bora ingetuuliza wenye chama chetu ili tukupatie majibu.
CCM yote inamtegemea Makonda mmoja.....?Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Umetoa neno gumu sana (IKABODI)Aliruhusu ama kuwafumbia macho watoto wake kupindisha amri na haki kwa watu
Haiwezi kuwa kirahc hvyo nyiny CHADOMO hamna jemaHamna kitu achana na maigizo yale..akiondoka imeisha hiyo.
Yaani nimeshangaa aiseeUjasiri unaujua wewe mnapokuwa faragha. Unampa sifa kuliko hata mkewe wa ndoa,kweli michepuko na nguvu kuliko wenye mali.
Unateseka ukiwa wapi Bush Dokta?Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Hahaaaa....leteni agenda za mwenezi tuzioneUnateseka ukiwa wapi Bush Dokta?
HaaaaYaani nimeshangaa aisee
Paul Mkaonda: Mwaka huu mtaota nywele kichwani,atema Cheche Kwa DED 🔥🔥Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani ya chama hicho wamekosoa mienendo ya kile kinachoitwa uenezi.
Tulitarajia Awe na Agenda zinazogusa Maslahi ya Wananchi kama vile
1. Hali ya Uchumi kudorora
2. Utitiri wa kodi na kupanda bei za bidhaa
3. Maendeleo ya huduma za kijamii hasa Maji, Umeme na Afya
4. Elimu bora na maIngira bora ya watendaji hasa walimu.
5. Utawala wa Haki, Sheria na kuzingatia Katiba.
Badala yake akikuta daraja limeanguka analivaa.....akikuta barabara imejaa vumbi analo.
Akikuta Eng wa Nkoa kagombana na mke wake basi yeye anakuwa msuluhishi.
Mimi naona kama Katibu Mwenezi ame loose focus na kukosa Mwelekeo.
Kama Chama kingekuwa kinategemea Kura kurudi madarakani basi huu ndio Ungekuwa Mwisho wa Uhai wa ccm.
Agenda ziko wapi? Acha bla blaHaiwezi kuwa kirahc hvyo nyiny CHADOMO hamna jema
Kaole sanaa groupPaul Mkaonda: Mwaka huu mtaota nywele kichwani,atema Cheche Kwa DED 🔥🔥
View: https://www.youtube.com/live/OpB4WlbnBG0?si=zFlr1wAfBB7-_GoU
Tena mtu mwenye kashfa mbaya mbayaCCM yote inamtegemea Makonda mmoja.....?
Sawa ,kutaneni kwenye kampeni 2024&25Kaole sanaa group
Na Tume huru iwepo ndio utaonaSawa ,kutaneni kwenye kampeni 2024&25
Anatumia fedha za uma bila sababu yoyoteIla Makonda kajipata
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.hii ni kutokana na kuwa na sera zuri na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.Na Tume huru iwepo ndio utaona
Thubutu ...jipe matumaini hewaHata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.hii ni kutokana na kuwa na sera zuri na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.
Ni pesa za chama zile sio umma hao chadomo ndy wanatumia za umma hizo ruzuku, ccm ina miradi ya kutosha hay taja miradi ya chadomo bila ruzuku wanatoboa?Anatumia fedha za uma bila sababu yoyote