Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

Huo unaouita uigizaji wa Magu ndio ulisaidia kudhibiti mifumuko ya bei za bidhaa kiholela, migao ya umeme na hata kuanzisha miradi ya maendeleo na kukamilika kwa wakati, hizo ziara za Makonda zinaweza zisiwe na tija kwako lkn kwa watanzania wengine ktk maeneo yao zikawa na tija.
Punguza chuki utaweza kuyaona hata yale mazuri japo unaumiašŸ˜€
 
Bashite anaendesha cheap politics kwa kuwa anafahamu fika wananchi wengi ni mazuzu
 
Hakuna kitu alifanya yule mzee zaidi ya kuwaza uchaguzi tu.

Kama alitatua umeme iweje leo hali iwe mbaya?
 
Kumbe hata RPC wote ni wa CCM naona anawafokea kama watoto
 

Bei ya mafuta ya kula, sukari nk vilipanda bei mara baada ya dhalimu magu kuingia madarakani. Umeme pia ulikuwa na mgao japo sio kwa kiwango hiki. Miradi ya maendeleo hata wakaloni walianzisha, yaani sio jambo jipya kabisa. Ni kweli ziara za Makonda Zina tija kwa mtu mmoja mmoja, lakini sio kiutendaji, maana akishapita ni mwisho wa hilo igizo, inaendelea business as usual. Jaribu kuangalia kwa upana wake hata kama una chuki na hiki nilichoandika.
 
Utauponza kaka Luka, CCM ina yenyewe ndiomana hata huyo unayemsifia kuna muda aliwekwa benchi..!!
Wewe uko maporini unaelewa nini kuhusu CCM zaidi ya kufanya mapambio
 
Utauponza kaka Luka, CCM ina yenyewe ndiomana hata huyo unayemsifia kuna muda aliwekwa benchi..!!
Wewe uko maporini unaelewa nini kuhusu CCM zaidi ya kufanya mapambio
Naielewa vyema sana CCM.ndio maana nipo CCM na naendelea kuwa CCM na nitabaki kuwa mwana CCM kindaki ndaki.
 
Naielewa vyema sana CCM.ndio maana nipo CCM na naendelea kuwa CCM na nitabaki kuwa mwana CCM kindaki ndaki.
Mimi ndio nakwambia CCM ina yenyewe acha ubishi..!!! Ungekuwa unaijua ss hivi ungekuwa huku town, umezungukwa na warembo..!!
Hiyo kazi ya kupiga kelele humu na kuweka namba zako kila post wangefanya wengine..!!
 
Hivi upoyoyo na uchawa wako umekupelekea kujua wananchi wana changamoto kiasi gani nchi hii na ukichangia Kuna watu maelfunhqwana kipatomkwa siku, wiki na hata mwezi! Hiyo sukari ya Tsh 5000 au 6000 ni wangapi wanaimudu.

Mashule mengine watoto wanasomea madarasa ya vumbi na waalimu ni wachache!!

Eti mwamba wa siasa! Huuo mwenyekiti wake ameshindwa kuyafanya hayo kwa kuwa anaelewa ni usanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…