Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuacha utamu pia ni dhambiAcha weeeee.
Na hawa ni matunda, miiba ama majani
Thread 'Kama huna hela usioe pisi kali' Kama huna hela usioe pisi kali
Nyama ni nyama ndugu πππππππππ
Itakuwa ndo walikuwa wanajifunza kuchinja.Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Hujawahi kuchinja nyama ya mbuzi na kuchoma!!?Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Dah comments jamani ππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ umenena kweli. Hata ardhi ukiikanyaga inaumia mbali na mambo mengi unayofanya kama kuchafua mazingira na kula mimea ukiogopa nyama.Tafuta sababu nyingine.
Mi niliona vingunguti daaahNdugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Eti kisa chozi. Chozi halina tofauti na jasho basi tu zinatoka sehemu tofauti π€«π€«π€£π€£Kuacha utamu pia ni dhambi
Upo smart kichwani. Ungezaliwa huko mbele tayari tungekuwa na mwanasayansi mkombozi wa Ng'ombe, Mbuzi na kitimoto.Inabidi wabadili style ya kuchinja
Mnyama achinjwe na visu vya umeme
Kisu kipite haraka sana ili asihangaike
Kila mmea mnyama mti au chochote chenye uhai ujue kinahisia.
Mchicha leo hii ungekuwa unaonesha ishara ya maumivu nao ungeacha kula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar's man.
Ipo siku utazionea huruma papuchi
Anaanza kumpa pole [emoji23][emoji23][emoji23]We ndio wale mwanamke akianza kulia kidogo tu unaacha kugegeda...kaza roho
Hao wachinjaji sio professional kabisa ktk uchinjaji . Uchinjaji upo wa aina mbili; Slaughter by stunning and Slaughter without stunning, hizo ni Major types of Slaughter,japo kuna aina nyingine nyingi.Lkn njia nzuri ya kuchinja ni ile ya Slaughter by stunning, stunning ni kumzimisha mnyama ili asione jinsi unavyomchinja, faida ya kufanya hivyo ni kumsaidia mnyama kufa bila mateso makali,aidha damu huchuruzika vizuri na hivyo kupata nyama iliyo bora.Ndugu Wana jamiiforum sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug