- Thread starter
- #101
So iyo ikojeHujui hata HIV inaambukizwaje🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So iyo ikojeHujui hata HIV inaambukizwaje🙄
Kapime...ila sidhani kama unao, mapambano ya kinga ya mwili na virusi vya ukimwi lazima effect yake ungeisikia, mwili ungeuona haupo sawaSawa kaka acha nikapime ila demu anasema anao
Fact!!!Sawa mkuu apa nipime kama sina mm na ngono bas mpaka nioe
Vipi tena? Kuna mtu kashakuwa member mpya?Yupo wapi mzabzab
Mkuu wiki 3 zimepita ila na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ila Sina homa je na ukimwiVipi tena? Kuna mtu kashakuwa member mpya?
Where there is pleasure there is always a danger.Well nilienda kwa show nikitumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel nikaona sijaridhika nikapiga punyeto sijui labda apo kutokunawa umenipa vvu au stress ndo zinafanya niwe ivi
Unapumzikaje na haya maisha magumu?Anza kula vizuri,fanya mazoezi pia upumzishe mwilii wako..
So ninao auWhere there is pleasure there is always a danger.
SikuelewiUnapumzikaje na haya maisha magumu?
Mbunye zimeharibu mstakabali wa vijana.So ninao au
So dalili za ukimwi sio izo mkuuMbunye zimeharibu mstakabali wa vijana.
Mkuu Wanawake watakuletea shida utakuja kujuta maisha yako yoote.
Hizo sio dalili za Ukimwi.
Nenda kapime maana Ukimwi hauonekani kwa macho.
Lakini hii iwe funzo.
Ila mwanamke anasema anao japo nimetumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel alafu nikapiga punyeto sijui ss kama apo ndo nilijipa ugonjwaSo dalili za ukimwi sio izo mkuu
So ninao au sinaHerpes Simplex, moja ya dalili ya HIV.
Unapigaje punyeto na uko na mwanamke?Ila mwanamke anasema anao japo nimetumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel alafu nikapiga punyeto sijui ss kama apo ndo nilijipa ugonjwa
Sikuridhika ss so apo iyo senerio inauwezekano au uwongoUnapigaje punyeto na uko na mwanamke?
Kapime ndugu, JF itakufanya ujinyonge na stress. Nenda kapate uhakika ikibidi uanze doseSo ninao au sina
OkKapime ndugu, JF itakufanya ujinyonge na stress. Nenda kapate uhakika ikibidi uanze dose
Jaman mnataka mridhike vp yaan show umepiga na nyeto tena aiseeWell nilienda kwa show nikitumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel nikaona sijaridhika nikapiga punyeto sijui labda apo kutokunawa umenipa vvu au stress ndo zinafanya niwe ivi
Ninao au sinaJaman mnataka mridhike vp yaan show umepiga na nyeto tena aisee