Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Sawa kaka acha nikapime ila demu anasema anao
Kapime...ila sidhani kama unao, mapambano ya kinga ya mwili na virusi vya ukimwi lazima effect yake ungeisikia, mwili ungeuona haupo sawa
 
Well nilienda kwa show nikitumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel nikaona sijaridhika nikapiga punyeto sijui labda apo kutokunawa umenipa vvu au stress ndo zinafanya niwe ivi
Where there is pleasure there is always a danger.
 
So ninao au
Mbunye zimeharibu mstakabali wa vijana.

Mkuu Wanawake watakuletea shida utakuja kujuta maisha yako yoote.

Hizo sio dalili za Ukimwi.
Nenda kapime maana Ukimwi hauonekani kwa macho.

Lakini hii iwe funzo.
 
Mbunye zimeharibu mstakabali wa vijana.

Mkuu Wanawake watakuletea shida utakuja kujuta maisha yako yoote.

Hizo sio dalili za Ukimwi.
Nenda kapime maana Ukimwi hauonekani kwa macho.

Lakini hii iwe funzo.
So dalili za ukimwi sio izo mkuu
 
Well nilienda kwa show nikitumia Kinga sema baada ya show niliifuta mikono na towel nikaona sijaridhika nikapiga punyeto sijui labda apo kutokunawa umenipa vvu au stress ndo zinafanya niwe ivi
Jaman mnataka mridhike vp yaan show umepiga na nyeto tena aisee
 
Back
Top Bottom