Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30
Mkuu hapa Kwa wastani kila mwaka ulikua unapata watoto watatu, wastani wa kila baada ya miezi minne ulikua unapata mtoto. Uliwezaje kuudumia mfulizo huo wa mimba na Sasa watoto wako 30 wanapata malezi stahiki ya mdingi au ndio mateso.
 
Ungekuwa unaishi miaka mingi kama zama za mfalme suleman hapo sawa,ila hii ya sasa ni sawa na kukimbiza upepo.
 
Ungekuwa unaishi miaka mingi kama zama za mfalme suleman hapo sawa,ila hii ya sasa ni sawa na kukimbiza upepo.
Legacy bro hata nikifa uzao wangu utasimama badala yangu,kwani unamfahamu babu wa baba yako?
 
Mkuu hapa Kwa wastani kila mwaka ulikua unapata watoto watatu, wastani wa kila baada ya miezi minne ulikua unapata mtoto. Uliwezaje kuudumia mfulizo huo wa mimba na Sasa watoto wako 30 wanapata malezi stahiki ya mdingi au ndio mateso.
Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
 
Kwa hiyo huo ukoo wako ni wa kabila gani chief?
 
Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
Kuna kuumwa mwana familia, kupeleka shule watoto makazi nk. Hizo gharama uliwezaje kuzimudu ? ukizingatia ww ulienda kijijini na laki.
 
Manpower
 
Mkuu uulienda mkoa gani
 
Ni mwandishi na sio "muandishi". Anyway umeona kiswahili kilivyo kigumu eeh, Sasa acha kukosoa kosoa sana cha msingi ujumbe umefika.
Mkuu amepuyanga dakika zote tisini eti UWANDISHI badala ya UANDISHI...

Amejifanya yeye Taasisi ya Kiswahili lakini ameingia kwenye mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…