Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Jina langu mimi,uzuri jina langu sio la kizungu wala kiarabu
Kama jina hilo si lile ulilopewa na 'wazazi' wako, hapo sawa. Lakini kama ni lile ulilopewa na waliokuzaa, juhudi zako za kuanzisha ukoo mpya unaouita ukoo wako ni bure. Kwani mizimu ya ukoo wa babako utaendelea kukutafuna kupitia jina hilo.
 
Utaanzisha lugha yako
 
Hata kubaki hapa TZ siyo ndo kufanikiwa, nenda popote moyo unapokutuma
 
Daah kwa tunavoishi na ndugu zangu mkuu upo sahihi kabisa siku hizi hata ukijipendekeza watakuumiza tu bora ufe ukijipambania kuliko kufa ukichekwa na watu wa nyumban kwako hata biblia inasema adui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake mwenyewe Mungu akujalie uzao mwema
 
Tanzania ni kubwa sana,leo hii Katavi imekuwa mkoa wa wasukuma,mimi nimezaliwa mjini kabisal, lakini nina amani huku Manyara naishi kama peasant wengine tu maisha nayafurahia ,hakuna haja ya kukimbilia nchi za watu Kama hujajipanga au kabla ya kujaribu fursa maeneo mengine ya nchi yetu
 
Naomba nijiunge na ukoo wako mkuu. Mimi sio snitch kama hao ndugu zako
 
Bila picha hii itakuwa chai , tupia hata picha ya bweni tafadhari
 
Mtibwa og
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…