Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

Pole mkuu..
 
Wangu namwamini sana.maana nshamwabia nikisikia tu TETESI kagongwa ni kwao na wanangu anawaacha.

Kiherehere ndii anajuaga hata akinunua tofali3 mtaa utajua ndio maana nikamuacha Dar 🤓🤓🤓
Mimi nilimwambia nilikuta namba ya Mwanaume yoyote nisiyemjua safari.
 
Anza kuhama taratibu atakuua huyo
 
Umefanya papara kumfukuza,hizo ndio tabia zao,sasa wewe hukufanya research kuwajua kwa undani,ukakurupukia kumuweka ndani,sisi mbona tunaishi nao tena kwa raha na amani,ukishamjua hakupi shida,ulitakiwa kutumia akili sio hisia...
Sijamfukuza mkuu. Nilimwambia Rudi nyumbani ukapumzike akagoma, kakubali atajirekebisha ngoja tuone
 
Asante sana, nachukua ushauri wako. Nimeshamwambia amekubali kubadilika, Lakini kingine NILICHOJIFUNZA katika Maisha uwezi kupata vyote unavyohitaji, nitamvumilia tu.
 
Uneoa mgogo au watu watu wa Mlali huko kongwa nini?. Kama ni hivyo imekula kwako wanaliwa kizembe, wakabira,wachoyo,wabinafsi,yaani ni toxic vumilia au kimbia.
 
" Kwa sehemu mbalimbali nilipopita kwa nature ya mabinti kama huyu nilienae Ilikuwa rahisi sana kusex nae bila hata ya kumtongoza kwa sababu unachokifanya ni kutengeneza mazoea tu na trust kwa sababu wamejengwa kuamini watu mapema huwa wanaliwa kizembe tu. "


Hapa ndipo shida ilipoanzia mkuu. Kuna maswali mengi ya kujiuliza ila niseme tu mbaya wa yote ni wewe mwenyewe. Mwanamke ulimgundua mapema kuwa hiyo ndiyo nature yake bila kujipanga namna ya kukabiliana na hali hiyo kwanini unamlaumu mkuu?
 
Hujapata perfect kombo....

Wew umeokota janamke ukalisogeza ndani unategemea nini?


Alisikika Raia mwema mmoja akitamka mahakamani kisutu........................
 
Ukioa jitayarishe kwa mabadiliko mengi tuu, kila mtu anakuja na tabia yake na mazoea, kama ulivyosema hupendi mazoea na watu na yeye kwake hiyo sio issue, inaonekana kitu kidogo lakini kinaweza kuvunja ndoa, kuna issue kama hizo mamilioni kwenye ndoa na kila mtu anakuja na zigo lake, ukimwacha huyo nina uhakika mwingine atakuwa na issue nyingine ambayo inakera pia, choice yako ni kurekebisha au kuvumilia na kuishi maisha yako kwa amani na mkeo,matatizo mengi sio matatizo ni jinsi unavyoyaona wewe au ulivyozoea, ndoa ni kuvumiliana na inahitaji busara sana, kuna jamaa yangu alizoea kula mara moja kwa siku ,alivyooa mama anapika mara tatu full menu, kwa jamaa ilikuwa issue kubwa na kuona ni waste of food na mama anapoteza muda mwingi jikoni badala ya kufanya vitu vya maana, jambo jema kwa upande wa mke lilileta feelings za thankless job na madharau makubwa, kwa wengine hii isingekuwa issue ya kuleta stress kwenye ndoa na ingekuwa neema tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…