Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

Tunamsubiri hapa Las Vegas, ametupita hapa wakati tulikua tunamsubiria
 
Mwacheni mama apumzike na jet lag, kwa safari ndefu kama hiyo na kwenye nchi kubwa ya kibeberu ni sawa kabisa akakaa hata wiki mbili......sema tu tatizo ni ukata wa bajeti.
 
Mwache akae mkuu, hana haja ya kuwahi kwani ananyonyesha
 

Mwache aupige mwingi
 
Hivi huko ccm hakuna hata mwenye akili mkashauriana? Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Mpaka Leo sijaona mantiki ya kuzinduliwa filamu USA bora ingekuwa hata Serengeti au Arusha AICC .
Wengine mna comment ili mradi tuu, nani ambaye anaifahamu AICC huko duniani? Idea ya kwenda Marekani kufanya uzinduzi ni ya msingi sana.
Ila mengine yanayoendelea binafsi NO COMMENT.
 
mama anaupiga mwingi bhna, kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake kwamba umesahau mara hii
 
w

Wengine mna comment ili mradi tuu, nani ambaye anifahamu AICC huko duniani? Idea ya kwenda Marekani kufanya uzinduzi ni ya msingi sana.
Ila mengine yanayoendelea binafsi NO COMMENT.
Kuwa open..Rais anachofanya binafsi nimemshangaa...is She Okay.?
Siku zote hizi unaspend tu....


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…