Ma Mkubwa we utachanjwa?Hamna kitu hapo ni danganya toto. Wanachanjwa dawa zingine kuhamasisha uma chanjo.hakuna rais achome hayo madude. Hata huko ulaya mbele ya camera inaonesha amechanjwa covid ila ki uhalisia kachoma hizi dawa za kawaida .
Ni kutimiza tu mashart.
Khee! Kaipatia wapi hiyo chanjo?Teh sasa mbona HK kapata chanjo kabla ya uzinduzi....
Ndio sijaelewa, kama Rais anazindua tarehe 28 mbona ye kishachoma, kapata wapi, au Rais nae kishachoma hiyo 28 ni igizo....hata sijui.Khee! Kaipatia wapi hiyo chanjo?
Huyu jamaa anayejiita 'nyani ngabu' bado yuko kwenye denial..hataki kuamini kama jembe lao chuma JPM is no more. Hataki kabisa reforms zinazofanywa na SSH na ndio maana kila kukicha anaanzisha thread za kupinga na kudumaza juhudi za marekebisho ya madudu aliyoacha JPM. Watu wa dizain yake sisi tumewabatiza jina la 'sukuma gang'Kuna mtu kakataa?!
Reforms za Mbowe kukamatwa kwa ugaidi?!Hataki kabisa reforms zinazofanywa na SSH
Ongezea na hizi:Reforms za mbowe kukamatwa kwa ugaidi?!
Corona imerudi juzi tu hapa, make ile ya zamani tuliishinda kwa maombi ikacoronea mbali huko. Sasa imerudi tena ndo maana rais anachanjwa.Corona imeanza lini?
Ilianza 2020 lakini ilivyofika mei 2020 mwishoni "corona officially ceased to exist within the boundaries of the United Republic of Tanzania"
Msimamo wangu huo haujabadilika mbona…Nyani wakati covid inaanza ulikuwa unasema ipo over rated, lini umebadili gia angani?
Kam ni hivyo sasa kwanini wanataka watu wachanjwe??Hata akichanjwa bado corona inaweza kumuua.
Kuchanjwa hakuondoi uwezekano wa kufa kwa corona hata kama umechanjaa dhidi ya corona.
Chanjo ni hiari, hata huko ulipo, kuna siku ulituonesha certificate yako ya kukamilisha chanjo, sasa kama msimamo wako haujabadilika kwa nini ulichanja kujikinga na ugonjwa ambao ni over rated?Msimamo wangu huo haujabadilika mbona…
Tulihimizwa kusherekea kuondoka kwa corona kwenye kila kona ya nchi. Ilivyofika mwishoni mwa mei 2020, msimamo wa serikali ni kuwa corona ilitokomezwa, ndio maana viongozi wote wa serikali waliacha kuvaa barakoa na kufuata miongozo mingine ya wataalamu wa afya.Wabongo bwana 😂 ulijuaje corona ilikuisha rasmi ndani ya mipaka ya Tanzania?, takwimu hazikutolewa sasa utajuaje ilitoweka mzehe!!!!!!
Huelewi!Chanjo ni hiari, hata huko ulipo, kuna siku ulituonesha certificate yako ya kukamilisha chanjo, sasa kama msimamo wako haujabadilika kwa nini ulichanja kujikinga na ugonjwa ambao ni over rated?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khee! Kaipatia wapi hiyo chanjo?