It's understandable not to appreciate the presence of God.
But claiming He doesn't exist is foolhardy. Sorry for you!
It's very unfortunate if your mother didn't tell you she was herself the child-daughter of God.
Andika kiswahili na wengine wasikie. Si kila mtu humu anajua kingeleza. Sawa,tumeona umesoma. Lakini elewesha na wengine.
Mama ni mtoto wa bibi na babu, na ukoo ule Mungu huyo hayupo. Ndugu zake wote nawajua.
Uwepo wake unaokazia sijui una maana gani? Kama yupo hata hana msaada wowote,bora mumuache akajilewee huko aliko. Kila aina ya takataka inayojitokeza anaiona na anakaa kimya? Mnamuomba memba mnapata mabaya! Dada zako wanajiuza wengine wamezalia home! Kama kweli yupo mbona hajaondowa hiyo fedheha kwenu? Unajiona kununua smartphone na kuingia JF kakufanyia wepesi. Hamna lolote.
We pambana na hali yako. Wagonjwa wanaokufa hawaoni? Mungu gani hawezi kuondolea watu maumivu huko waliko? Kama yupo!? Hana uwezo hata kidogo. Bora mganga anaekudanganya huku unamuona.
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.
Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
Inasikitisha sana mtu unaedhania ana akili timamu, yeye yupo tu kafanywa msukule na watu hata asiowajua. Amka bhanaaa! Umetapeliwa na unataka tufate mkumbo huo?
Ukiniambia alichokusaidia huyo Mungu,kulingana na uwezo mnaomsingizia, rudi hapa unihakikishie ntamtafuta na mimi.
Lakini kwamba sijui nabii, sijui biblia, mi najua kina Hashura na Mwajuma wanaonipetipeti, najua Baa furani kuna mhudumu mchejo na mchangamfu. Anaitwa Asha. Mbona namtaka mda mrefu na ananipiga chenga? Huyo Mungu wako haoni navopata shida? Kwa hiyo anaona raha nikiteseka? Sasa kama napambana kivyangu siku nikimpata atakuja kusema yeye ndo ameniwekea mtego? Neva and ova. Leta mada nyingine hii ya bwana Mungu na mwanae waachia wa huko Afrika ya kati. Sipajui huko,na mambo yao siyataki sasa