Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

Thibitisha kwamba Mungu hayupo. Acha porojo wewe.
Mi sina shida na uwepo wake bro. Wewe unaaminisha watu uwepo wake. Umeulizwa vigezo ni vipi,ni nini,yuko wapi,kazi yake nini? Sasa badala ya kujibu,unaomba nithibitishe kutokuwepo kwake. Mi sijaeneza kutokuwepo kwake. Na simjui,sijamuona,sijui yuko wapi na kazi zake sizijui. Sasa wewe jibu swali,ndo uulize. Unakwepa nini? Au useme tu mi si msemaji wake,tosha.
 
Thibitisha kwamba Mungu hayupo. Acha porojo wewe.
Kama kweli una akili timamu(ila si tusi,samahani usinielewe vibaya),toka umezaliwa mpaka wa leo,vituko unavyoviona,jumlisha ulivyosikia kwa walokutangulia, ongeza na vitakavyotokea baada ya wewe kufa, huyo mungu asiye na huruma na watu mnaowaita wake ni yupi? Wa nini? Mtu anakudhulumu alfu 10 tu,JF nzima inajua. Mtu kauliwa bila hatia,unaona bora hela yako.
Basi kama yupo, yuko ICU pishaneni kumuuguza huko.

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.
Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa

Kupitia haya, nakudhibitishia kutokuwepo kwake. We endelea na porojo zako.
 
Mungu yupo mjombaa!

!!Luka 6:12
Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu
Yawezekana aliyewaloga alishakufa kweli. Yesu alikwenda mlimani kuomba. Alikuwa anamuomba Mungu. Si mlisema Mungu ana kila kitu?
-mara Yesu ni Mungu
-mara mtoto wa Mungu.
Kama huo umungu alikuwa nao,alikuwa anaomba nani? Kama alikuwepo anaemzidi nguvu,af mnadanganyana tuuu, si bora waganga wanaozidiana uwezo?
Iko hivi,ruksa kumuamini Mungu wenu,ila tu,hana chochote. Nae mlala hoi kama sisi hapa. Tena bora sisi wake zenu na dada zenu tunawanunulia bia na kuwapoza joto.
Kweli ashindwe na kuwapa ya chips mayai mpaka wauze manyoya yao

Hiyo Luka 6:12, aliandika nani?
 
Thibitisha kwamba Mungu hayupo. Acha porojo wewe.
Matapeli wengine wakijifanyia yao kujipatia pesa,si wanawaibia wajinga? Mnawaona wasiostahili kuwepo. Mmezidiwa ujanja,acha muibiwe.
Sasa,nyie mnataka watu waamini katika utapeli wenu tu! Kuumbuka hamtaki kukubali. Fanyeni kazi,mambo ya kuishi kwa sadaka,mafungu ya kumi,yalishapitwa na wakati. Kuwala wake za watu kwa kisingizio cha kuwaombea, tongozeni au nunueni na nyie. Hakuna mtelezo tena. Mmeshajulikana,mambo ya kesi hatutaki,pambaneni na hali zenu.
 
Kama kweli una akili timamu(ila si tusi,samahani usinielewe vibaya),toka umezaliwa mpaka wa leo,vituko unavyoviona,jumlisha ulivyosikia kwa walokutangulia, ongeza na vitakavyotokea baada ya wewe kufa, huyo mungu asiye na huruma na watu mnaowaita wake ni yupi? Wa nini? Mtu anakudhulumu alfu 10 tu,JF nzima inajua. Mtu kauliwa bila hatia,unaona bora hela yako.
Basi kama yupo, yuko ICU pishaneni kumuuguza huko.

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.
Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa

Kulitia haya, nakudhibitishia kutokuwepo kwake. We endelea na porojo zako.
Umeongea mambo mengi sana ya kufikirisha
 
Mi sina shida na uwepo wake bro. Wewe unaaminisha watu uwepo wake. Umeulizwa vigezo ni vipi,ni nini,yuko wapi,kazi yake nini?
Ukishaambiwa kwamba ni Mungu Muumbaji, unataka vigezo gani tena?

Sasa badala ya kujibu,unaomba nithibitishe kutokuwepo kwake.
Wewe upo kwa sababu Yeye yupo. Bila Yeye huwezi kuwepo.

Mi sijaeneza kutokuwepo kwake. Na simjui,sijamuona,sijui yuko wapi na kazi zake sizijui.
Stop lying.
 
Ukishaambiwa kwamba ni Mungu Muumbaji, unataka vigezo gani tena?

Wewe upo kwa sababu Yeye yupo. Bila Yeye huwezi kuwepo.

Stop lying.
Naemjua ni mama bwana. Mungu unamjua wewe. Nipo kwa sababu nimezaliwa. Hapo huyo Mungu kahusikaje labda? Aliempa mimba maza,na yeye namjua. Huyo Mungu alihusikaje?
 
It's understandable to not appreciate the existence of God.

But claiming He doesn't exist is foolhardy. Sorry for you!

It's very unfortunate if your mother didn't tell you she was herself the child-daughter of God.
 
It's understandable not to appreciate the presence of God.

But claiming He doesn't exist is foolhardy. Sorry for you!

It's very unfortunate if your mother didn't tell you she was herself the child-daughter of God.
Andika kiswahili na wengine wasikie. Si kila mtu humu anajua kingeleza. Sawa,tumeona umesoma. Lakini elewesha na wengine.
Mama ni mtoto wa bibi na babu, na ukoo ule Mungu huyo hayupo. Ndugu zake wote nawajua.
Uwepo wake unaokazia sijui una maana gani? Kama yupo hata hana msaada wowote,bora mumuache akajilewee huko aliko. Kila aina ya takataka inayojitokeza anaiona na anakaa kimya? Mnamuomba memba mnapata mabaya! Dada zako wanajiuza wengine wamezalia home! Kama kweli yupo mbona hajaondowa hiyo fedheha kwenu? Unajiona kununua smartphone na kuingia JF kakufanyia wepesi. Hamna lolote.
We pambana na hali yako. Wagonjwa wanaokufa hawaoni? Mungu gani hawezi kuondolea watu maumivu huko waliko? Kama yupo!? Hana uwezo hata kidogo. Bora mganga anaekudanganya huku unamuona.

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu

Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),

Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)

Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima

Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?

Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.

Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”

Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.

Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa

Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa

Inasikitisha sana mtu unaedhania ana akili timamu, yeye yupo tu kafanywa msukule na watu hata asiowajua. Amka bhanaaa! Umetapeliwa na unataka tufate mkumbo huo?

Ukiniambia alichokusaidia huyo Mungu,kulingana na uwezo mnaomsingizia, rudi hapa unihakikishie ntamtafuta na mimi.
Lakini kwamba sijui nabii, sijui biblia, mi najua kina Hashura na Mwajuma wanaonipetipeti, najua Baa furani kuna mhudumu mchejo na mchangamfu. Anaitwa Asha. Mbona namtaka mda mrefu na ananipiga chenga? Huyo Mungu wako haoni navopata shida? Kwa hiyo anaona raha nikiteseka? Sasa kama napambana kivyangu siku nikimpata atakuja kusema yeye ndo ameniwekea mtego? Neva and ova. Leta mada nyingine hii ya bwana Mungu na mwanae waachia wa huko Afrika ya kati. Sipajui huko,na mambo yao siyataki sasa
 
Mama ni mtoto wa bibi na babu, na ukoo ule Mungu huyo hayupo. Ndugu zake wote nawajua.
Huo ukoo wenu wote unaoujua ni wazaliwa wa nani?

Unaweza kunithibitishia kwamba ^Mungu hayupo^?

mi najua kina Hashura na Mwajuma wanaonipetipeti, najua Baa furani kuna mhudumu mchejo na mchangamfu. Anaitwa Asha. Mbona namtaka mda mrefu na ananipiga chenga? Huyo Mungu wako haoni navopata shida? Kwa hiyo anaona raha nikiteseka? Sasa kama napambana kivyangu siku nikimpata atakuja kusema yeye ndo ameniwekea mtego? Neva and ova. Leta mada nyingine hii ya bwana Mungu na mwanae waachia wa huko Afrika ya kati. Sipajui huko,na mambo yao siyataki sasa
Tatizo lako linaanzia hapa. Pole sana.
 
Huo ukoo wenu wote unaoujua ni wazaliwa wa nani?

Unaweza kunithibitishia kwamba ^Mungu hayupo^?

Tatizo lako linaanzia hapa. Pole sana.
Sijui una tatizo gani. Ukoo huo wote ni mme na mke wanadinyana wanazaa! Mi nimepatikana hihivyo, watoto wangu nimewapata kwa mtimdo huo. Sasa Mungu huyo hapo anahusikaje? Mgonjwa tu anasaidiwa na daktari. Safari, dereva na konda. Nyumbani, mdada wa kazi. Huyo Mungu kazi yake bado hujanielewesha mie.

Mi vigezo vyote vya kutokuwepo kwake nimekupa. Hapo uliposema kwamba tatizo lote linaanzia hapo. Basi na wewe nishawishi kuhusu uwepo wake tuone. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukoo huo wote ni mme na mke wanadinyana wanazaa! Mi nimepatikana hihivyo, watoto wangu nimewapata kwa mtimdo huo. Sasa Mungu huyo hapo anahusikaje? Mgonjwa tu anasaidiwa na daktari. Safari, dereva na konda. Nyumbani, mdada wa kazi. Huyo Mungu kazi yake bado hujanielewesha mie.
Hujajibu swali uhai unakotokea. Unazunguka tu kama bendera kwenye upepo.

Mi vigezo vyote vya kutokuwepo kwake nimekupa. Hapo uliposema kwamba tatizo lote linaanzia hapo. Basi na wewe nishawishi kuhusu uwepo wake tuone. 🤣🤣🤣🤣🤣
Uwepo wa Mungu unaonekana kila mahali; wala huna sababu ya kushawishiwa.

Hata kipofu, kiziwi, anauona. Asiyeweza kuuona ni mtu aliyefumba akili tu.
 
Hujajibu swali uhai unakotokea. Unazunguka tu kama bendera kwenye upepo.

Uwepo wa Mungu unaonekana kila mahali; wala huna sababu ya kushawishiwa.

Hata kipofu, kiziwi, anauona. Asiyeweza kuuona ni mtu aliyefumba akili tu.
-Uhai unatoka kwa mama na baba. Wao wanazaa.
Mambo yanayofata yanatokana na kazi ya akili na nguvu ya mtu. Ova.

-Huo uwepo wake ndo nataka unipe sababu hata tano au hata moja tu. Ya kunifanya niamini.

- Mungu angekuwepo angemfanya mwenzio kipofu? Kiziwi? Mungu gani mbaguzi? Kipofu na kiziwi wamtambue kwa lipi wakati kawafanyia unyama? Ungetoa mfano mwingine huo naukataa. Basi kama hivyo,mbali na ubaguzi ni katili tena sana.
 
Mungu Yupo, kama ambavyo TUMEAMINISHWA NA KUAMINI.

Kama hutaki kuamini Mungu Yupo Anza kwanza KUMKANA babayako.

Amekuwa babayako sababu ya KUAMINISHWA si kitu kingine chochote.

Hata Mama yako UMEAMINISHWA HIVYO.

KUAMINI ni kuaminishwa na kukubali MUNGU MUWEZA WA YOTE YUPO.
 
-Uhai unatoka kwa mama na baba. Wao wanazaa.
Mambo yanayofata yanatokana na kazi ya akili na nguvu ya mtu. Ova
Wao wenyewe walitoka wapi? Usifanye hili swali rahisi lionekane gumu.

-Huo uwepo wake ndo nataka unipe sababu hata tano au hata moja tu. Ya kunifanya niamini.
Uhai ni nini na nini chanzo chake?

- Mungu angekuwepo angemfanya mwenzio kipofu? Kiziwi? Mungu gani mbaguzi? Kipofu na kiziwi wamtambue kwa lipi wakati kawafanyia unyama? Ungetoa mfano mwingine huo naukataa. Basi kama hivyo,mbali na ubaguzi ni katili tena sana.
Hiyo ni mitazamo potofu kuhusu Mungu, na wala Mungu haishi kwa vigezo vyako wewe.
 
Sawa ila kwann msiwaoneshe picha ya mungu na video zake ili waache ubishi hawa wapumbavu? Au ninyi bado mnaishi katika enzi za kijekitile ngwale? Bunduki geuka kuwa maji.
 
Back
Top Bottom