Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

Mpwayungu village kakinukisha uko nini[emoji23][emoji23]
Kama ni kweli basi ziwe vurugu za kuleta mageuzi yenye kuwakomboa kifikra na kimaslahi maana hili kundi linakuwa kama special group vile. Ila viongozi wengi wa CWT niwanyonyaji na wahuni sana wanadhani walimu hawakwenda shule kumbe ni basi tu umasikin unawafanya wasiwe wanaharakati
 
Back
Top Bottom