Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Hii inafanana na mtumishi mmoja NBC Moshi lkn yeye alinusurika kifo alipigwa risasi na mume wake then mume nae kijipiga mume akafariki.
Kisa mke hakuwa na mapenzi ya dhati kwa mume wake.
Halafu jamaa ndio alishamsomesha .
 
Nyanda za juu kusin shujaa wetu nan
Yule babu muuza parachichi asiyekua na muuzaji, unachukua kiasi unachokitaka, hela unaweka kwenye kibubu na kuchukua chenji kisha unaondoka, ukitaka kujua ni shujaa, zidisha chenji au parachichi kimojawapo kati ya hivyo viwili...pale njombe.
 
Ukiwasikia wale ma single maza wa Instagram wanavyomtetea huyo demu na kuponda ndoa ndo utajua wanawake wote akili zao zinafanana yule jamaa aliyefungiwa na demu wake pale kimara na nyumba ikapigwa moto walikuwa wanatetea ila wanaume jinsi tunavyopenda sisi mpaka tukifikia hatua hyo ujue demu kazingua sana .
 
HUYU MWAMBA SAID, ANATAKIWA ATENGEWE SIKU MAALUMU YA KUMBUKUMBU KAMA VILE NYERERE DAY, KARUME DAY, SAID DAY.

MAMA WA MWANAMKE ALIYAJUA HAYA NA NDIO MAANA MKAVU WALA ADODOSHI HATA CHOZI. SAIDI ALITAKIWA KUANZA NA HUYU MWANA WA YEZEBELI
 
 
Duuhh Sasa hapa mkuu mbona hujatatua tatizo ninachokiona ni kama umempa uhuru Zaid afanye mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…