Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

kweli wewe ni mbumbumbu!
Mbona anaeleweka huyu dada!

In brief

*Mume alipenda sifa za kuoa mrembo wa kula naye bata mjini hakufanya upembuzi yakinifu yapi yatajiri
*Mke hakuolewa kwa kuvutiwa na mahaba ya mume bali chambo ilikuwa pesa, anasa maisha ya kutohitaji

#kati ya wote hakukuwepo aliyezingatia misingi, taratibu wala matokeo ya ndoa
 
Duh!
 
Yaani mwanaume kabisa na makende yako unakaa chini na kuamua kumjengea nyumba tatu mwanamke wako?

Unaanzaje yaani? Unamwambia ‘ we mwanamke wangu mi nakujengea nyumba tatu halafu nakununulia na gari’.

Huyo jamaa alikuwa bilionea?
Na Bado jamaa nasikia alitoka safari,na Akamuomba mke wake aende akampokee. Etii mke akamjibu gari haina Mafuta chukua boda..
 
Umenikumbusha kitu, mimi huwa nikiona wife analeta dharau huwa naweka status picha nikiwa site na mtoto mkali tunapiga kazi, offcoz anashindwa kuniwashia kwa sababu anaona ni mazingira ya kazi ila kwa uzuri wa hizo pisi lazima ajiulize nina stahili kuletewa jeuri! Maana utakuta nimetoka hone kaninunia alafu anaona vibinti site vinanichekea. Basi hapo nitapetiwa petiwa wiki kadhaa tu baada ya muda anajisahau tena. Hawa viumbe wakijua hauna plan b watakunyanyasa sana.
 
Marehemu Said hakutaka ujanja ujanja kwenye ndoa,yaani unapiga simu mara 42 haipokelewi halafu usipigwe risasi 7 who are you ?

"huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive" in jiwe's voice

this is government
Sometime watu wanakosea kifo syo adhab ilibid amparue tu na acid uson bac uzur wote kwsha ili apate mda wa kujutia sah unamuua mtu dakik moj hata ajutii[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mnaosema Saidi sijui alitaka sifa kumuoa huyo dada kila mtu duniani kuchukua kitu au mtu anachokipenda/anayempenda. Na kama ni kweli Saidi alifanya hayo yote bidada alizingua mno ni aina ya wanawake ambao wapo macho juu juu pia haya mambo ya mtandao yanafanya wanawake wengi wanakuwa hawaridhiki na wanachofanyiwa na waume zao maaana akili zao zipo kwenye kujilinganisha na maisha ya watu wengine.Anywas wameshaondoka now wapumzike kwa amani. Amen
 
Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Tukio kama la Said wanawake mjipange mtashuhudia mengi kwanza matobo yenu sasa hivi hayana stimu hata kwenu wenyewe ila misumari mnapanda daily, mjipange sana.
 
Yaan kikubwa kwenye maisha usitumie nguvu kubwa kwenye mapenzi bora hiyo miradi uwatengenezee hata wadogo zako ukisema utumie nguvu kuprove upendo unakua unajitaftia mattz hongera kwa uamuz wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…