Manndasori
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 286
- 259
Nyumba 3 usafiri na biashara halafu upotezewe kirahisi tu? Lazima uchezee ndulele bablai[emoji23]Maamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongezi