antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh!Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Hakuna sehemu kasema marehemu alijengewa nyumba 3 na magari kama aliomba akachukuliwe na petrol hawana hawa hawana utajiri wowote story za vijiweni labda walikuwa na kijumba tu cha kujistiri hakuna utajiri tajiri hana petrol? wapi huyo mama kasema mtoto wake alijengewa hayo majumba? ndoa haikuwa ndoa wanashida walikuwa lakini hakuna tofauti na shida za ndoa nyingi tu, tukianza kupigana risasi kila siku tutakuwa tunazika kila mtaa wa TanzanaiHya yamesemwa na mama mzaa Chema mwenyewe. Sio maneno ya mtaani. Ingia Millard ayo usimkilize huyo mama wa swalha
Mkewe si mwanamke wakeYaani mwanaume kabisa na makende yako unakaa chini na kuamua kumjengea nyumba tatu mwanamke wako?
Unaanzaje yaani? Unamwambia ‘ we mwanamke wangu mi nakujengea nyumba tatu halafu nakununulia na gari’.
Huyo jamaa alikuwa bilionea?
Angepigwa risasi dada wako pia ungekua upande WA said??Niko upande wa mpiga risasi kwangu mimi jamaa ni shujaa sana yaani kama role model wangu
alistahiki adhabu,iwe funzo kwa gold diggersDuh kama ni kweli alizingua
Ndio Kesha muua juu yetu kulani kuhakikisha unyama Aina hii hauendelei tenaWewe huna akili. Ndiyo kashamuua sasa unaamuaje?
niliwahi kuuliza humu,wenzetu hawa huwa wanaanzaje, wanapewa nini hasa sikuwahi kupata majibu ya maana.Yaani mwanaume kabisa na makende yako unakaa chini na kuamua kumjengea nyumba tatu mwanamke wako?
Unaanzaje yaani? Unamwambia ‘ we mwanamke wangu mi nakujengea nyumba tatu halafu nakununulia na gari’.
Huyo jamaa alikuwa bilionea?
hiyo ndio inafanya madem waone ni kawaida tu kuzingua. ukipiga mashine unakuwa umeshtua wengi waliolalaMaamuzi magumu kwa kujiua..angemuacha huyo mwanamke bila kujali amemfanyia nini hapo angestahili hizo pongezi
Mbwa kokooohNyie mlioolewa ukiiona missed call nyingi toka kwa mumeo ripoti police haraka !!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wewe!!....................Mkuu hata wanaume wanatobo ndo maana wanaibuka watu kama james delicious anyway hilo tobo ndilo lililokuleta duniani shukuru sana genye bila hivyo ungekua zako funza wa chooni
Cjazungumzia nyumba, nimeongelea kuhusu hoja yangu ya kwanza Kuwa marehemu alimwambia mumewe apande boda gar haina Mafuta. HYo ya majumba Sio hoja yangu.Hakuna sehemu kasema marehemu alijengewa nyumba 3 na magari kama aliomba akachukuliwe na petrol hawana hawa hawana utajiri wowote story za vijiweni labda walikuwa na kijumba tu cha kujistiri hakuna utajiri tajiri hana petrol? wapi huyo mama kasema mtoto wake alijengewa hayo majumba? ndoa haikuwa ndoa wanashida walikuwa lakini hakuna tofauti na shida za ndoa nyingi tu, tukianza kupigana risasi kila siku tutakuwa tunazika kila mtaa wa Tanzanai
Kibaharia wapi wangemshauri achana nae..kitu ambacho alikua hakitaki...Huyu mwamba hakutaka kushare tatizo na rafiki zake, wangemshaur kibaharia na asingefika hyko.
mkuryaAnayejua history ya Said ikiwemo kabila lake atujuze
Siku ukija kubaini ndoa yako imevurugwa na pesa ndio utajua pesa ni nin.Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.
Sijasema usihonge.
Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
... kupenda ndugu! Mapenzi yana nguvu za ajabu sana both +vely and -vely.Hii story ya nyumba 3 ina mashaka maana tunaambiwa ndoa ina miezi 5 tu sasa hizo nyumba zilijengwa wakati wa uchumba au? kama ni kweli huyu Said jinga number moja Tanzania unamjengea kimada nyumba 3 ili iweje? kama ni kweli huyu jamaa mjinga ndio maana matendo yake ya kijinga yameenda naye.
... hao ni ndugu; just a walking distance.Huyo mwanamke siyo wa Singida. Anatokea Chemba zamani Kondoa. Mrangi huyo.
Rip to all.Tujifunze kupenda kwa dhati si kwa kigezo cha mali au uzuri.Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID
3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.
4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.
5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.
CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG
Pia soma > Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI