antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh!Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Kumbe alitenda ile dhambi ya kusomesha mchumba🙄 Asingebaki salama