Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Ebu waza, revolver kawaida ni risasi 6 , ina maana mume kwa hasira alifyatau bunduki risasi zote , ame reload na kufyatua moja zaidi -right in the head! Said alidhamiria kuuwa kweli.
Wewe unajuwa silaha au unataka uonekane unajuwa silaha.

Kuna magazine hapa inaload risasi 15.

Nikiwa na magazine mbili ni kama nina SMG.
 
Hahaah ya jamaa inatumia ile system ya zamani yaan unawezeka risasi moja moja kwenye rlover ukipress trger inazunguka hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mmmmh mwaka huu kazi tunayo🥴🥴
 
Huyu alikuwa popoma TU,alishindwa kumwendea kwa kalumanzira akampiga tukio la kumsababishia ajali kweli?
 
Mnatumiaje mabastola ya kizamani hvo? Ni ubahili wa kununua za kisasa ama ni nini?
Unaelewa utaratibu wa kumiliki silaha? Au unadhani kama unavyobadili simu tu unatumia Samsung ikitoka Iphone macho matatu unanunuwa unaweka line twende kazi.

Una uelewa wowote hata ukitaka kubadirisha pistol uliyonayo unafuata utaratibu upi? Una uelewa wowote au unafurahisha genge?
 
Mmmmh mwaka huu kazi tunayo🥴🥴
Hakuna kazi yoyote, tatizo siyo silaha wengi hamjui Watanzania wengi ni wagonjwa wa akili.

Msiweke mawazo ya kupimana ukimwi tu kabla ya ndoa bali sharti liwekwe na madhehebu ya dini na Serikali iwe ni lazoma kabla ya ndoa wote wawili mpimwe afya ya akilina amini usiamini wanawake wengi ndio wenye ugonjwa wa akili bila wao kujijuwa.
 
Kwa nini wanawake?mbona wanaume ndio wanaongoza kwa vitendo shangavu?
 
...Nyinyi Wenzetu mmewazoesha vipi Wakwe zenu kiasi anaweza kuendea Hewani na kusema Shombo???
Mimi Zaidi ya Kusalimiana Kwa Heshima, hakuna Cha Zaidi!
Na akiniona nimekaa Sebuleni Anatenda kukaa jikoni na Mwanawe!!
Ndio Wakwe zetu hao wa Kizamani wanaojua Nafasi Yao!
Hawa Wenu wa Kislku hizi ambao Mkwe anakaribiana na Mwanae, Mkeo, kiumri, Shida Tupu!!
 
Na Bado jamaa nasikia alitoka safari,na Akamuomba mke wake aende akampokee. Etii mke akamjibu gari haina Mafuta chukua boda..
...Alikuwa anakitafita Kifo! Yaani ushindwe kuweka Gari Mafuta Ukampokee Mumeo kisa Gari Haina Mafuta!! Wee SI Mfanyabiashara???
 
...Good!....
 
Hivi uingize kichwa cha binadamu kwenye draya saa nzima huo ubongo unaweza kubaki salama?

Fuatilia kwa makini wanawake wanaonyoa nywele vipara na wanaonyoa kawaida na kutumia mafuta ya nywele tu kuna siri utaigunduwa.
dah[emoji23][emoji23]
 
Dah!..noma hii
 
Usahihi ni SWALHA, SALHA ni kiswahili zaidi
Hamna jina la kiislam laiiutwalo Swalha..

Salha neno la Kiarabu maana yake ni mtu mwenye heshima,mtu anaejiheshimu
 
Daaaah yaani kapiga simu analia kwa sauti kama kafiwa wakati kipigo kiliisha mda mtu.kweli tuishi nao kwa akili.naomba Mungu nifike kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…