Biko Njayo
New Member
- Dec 8, 2021
- 3
- 1
Hakuwa na namna zaidi ya kufanya maamuzi magumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.. Kumbe!Kwa tanzania haifanyi kazi hii mzee
Ova
Wewe unajuwa silaha au unataka uonekane unajuwa silaha.Ebu waza, revolver kawaida ni risasi 6 , ina maana mume kwa hasira alifyatau bunduki risasi zote , ame reload na kufyatua moja zaidi -right in the head! Said alidhamiria kuuwa kweli.
Mmmmh mwaka huu kazi tunayo🥴🥴Hahaah ya jamaa inatumia ile system ya zamani yaan unawezeka risasi moja moja kwenye rlover ukipress trger inazunguka hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unaelewa utaratibu wa kumiliki silaha? Au unadhani kama unavyobadili simu tu unatumia Samsung ikitoka Iphone macho matatu unanunuwa unaweka line twende kazi.Mnatumiaje mabastola ya kizamani hvo? Ni ubahili wa kununua za kisasa ama ni nini?
rubii Kula tano.. tuma no yako nikutumie mhamalaWatajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea.
Hakuna kazi yoyote, tatizo siyo silaha wengi hamjui Watanzania wengi ni wagonjwa wa akili.Mmmmh mwaka huu kazi tunayo🥴🥴
NaamSafi sana
Huo ndiyo uamuzi mzuri ulioufanya
Dah mzee ulimla jicho haha
Ova
Hivi uingize kichwa cha binadamu kwenye draya saa nzima huo ubongo unaweza kubaki salama?Kwa Nini wanawake mkuu?
Kwa nini wanawake?mbona wanaume ndio wanaongoza kwa vitendo shangavu?Hakuna kazi yoyote, tatizo siyo silaha wengi hamjui Watanzania wengi ni wagonjwa wa akili.
Msiweke mawazo ya kupimana ukimwi tu kabla ya ndoa bali sharti liwekwe na madhehebu ya dini na Serikali iwe ni lazoma kabla ya ndoa wote wawili mpimwe afya ya akilina amini usiamini wanawake wengi ndio wenye ugonjwa wa akili bila wao kujijuwa.
...Nyinyi Wenzetu mmewazoesha vipi Wakwe zenu kiasi anaweza kuendea Hewani na kusema Shombo???Wanawake wasiojielewa wapo wengi tu tuishi nao kwa akili.juzi nilipatwa na hasira nikampa mabao mawili ya nguvu.wana majibu ya ovyo sana .akakimbilia kumpigia simu mamaake kwamba nataka kumuua .mamaake kanipandia hewani eti nataka kumla mwanawe nyama.hakunipa nafasi ya kunisikiliza so simlaumu huyu jamaa.makosa yao yanatufanya tuonekane wabaya kwa jamii
...Nafikiri Wewe Ndio hujielewi unachoandika, Mkuu!Kama hujaelewa post pita kimya kimya sio lazima kuquote
...Alikuwa anakitafita Kifo! Yaani ushindwe kuweka Gari Mafuta Ukampokee Mumeo kisa Gari Haina Mafuta!! Wee SI Mfanyabiashara???Na Bado jamaa nasikia alitoka safari,na Akamuomba mke wake aende akampokee. Etii mke akamjibu gari haina Mafuta chukua boda..
...Good!....Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi
Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
dah[emoji23][emoji23]Hivi uingize kichwa cha binadamu kwenye draya saa nzima huo ubongo unaweza kubaki salama?
Fuatilia kwa makini wanawake wanaonyoa nywele vipara na wanaonyoa kawaida na kutumia mafuta ya nywele tu kuna siri utaigunduwa.
Dah!..noma hiiUnaenda kuoa sijui Mnyiramba, Mnyaturu au Mrangi lazima utakuwa mwehu. Kuna siku nilikuwa na dada wa kirangi Dodoma nikaenda nae sokoni. Kuna mzee mmoja nae ni Mrangi akaniita na kuniambia huyo ndio mkeo nikajibu ndio. Akasema kijana achana na mwanamke wa Kirangi. Kumbuka huyo mzee ni mrangi nae.
Hamna jina la kiislam laiiutwalo Swalha..Usahihi ni SWALHA, SALHA ni kiswahili zaidi
Daaaah yaani kapiga simu analia kwa sauti kama kafiwa wakati kipigo kiliisha mda mtu.kweli tuishi nao kwa akili.naomba Mungu nifike kama wewe.Ndio lugha zao hizo kupiga simu kwa mama zao kuwa ananyongwa huku, mimi mama watoto wangu amekula sana mikanda, makofi na ngumi ila namshukuru Mungu alikuwa mvumilivu na hadi tumezeeka pamoja.
Kitu nilichogundua malezi, yamewaharibu kwa kiasi kikubwa ukichanganya na ujio wa smartphone na sheria zinazowalinda hawa mabinti ndio wamezidi kuwa na jeuri.
Jina litabaki kuwa ishu,mnaharibu majina ya watuKesha lazwa chali huyo.Jina sio issue tena!