Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Saidi alikua mshamba Sana kwa Sababu chanzo Cha utajiri wake ni uvuvi na kama unavojua wavuvi ni kama wanaapolo wa madini wakishapata hela .
 
Oswayo namfahamu vizuri Sana ana wake 4 na huyo mwanamke alikufa hakua mwanamke ila alikua KAHABA .Jamaa alivomuoa alimpa miladi ili ambdilishe aache ukahaba matokeo yake yamekua kifo.
Interesting !

Unaishi buswelu sehemu gani? Duniaya warembo? Kona bar? Nyamadoke? Wilayani? Ilalila? Center ?Au wapi mkuu?
 
Alikua muoga ndiyo maana akajaribu kutoroka.

Alivyoona haiwezekani akaamua kujiua.

Jamaa ni muoga na mjinga.

Alishindwa hata kua na escape plan.
Inaelekea hakupanga
Imetokea tu majibizano ikawa ndio hivyo
 
Sasa huo utakuwa ni ukichaa kabisa. Pole yake marehemu.
Hayo ndio madrama ya mapenzi na ndoa. Aliki mbili zilizozaliwa katika tamaduni mbili tofauti na kupata malezi tofauti zinakutana siku moja na kuamua kuwa zinaweza kuishi pamoja na kuelewana na kuendana. Hii kitu sijawahi afiki

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hii zig zag bora wameenda kupumzika aisee duh
 
Yaani mwanaume kabisa na makende yako unakaa chini na kuamua kumjengea nyumba tatu mwanamke wako?

Unaanzaje yaani? Unamwambia β€˜ we mwanamke wangu mi nakujengea nyumba tatu halafu nakununulia na gari’.

Huyo jamaa alikuwa bilionea?
Mimi naona kama haya mengine ni nyongeza tu. Kila siku zikisonga basi hadithi inazidi kunoga.
 
Nachofahamu wavuvi haswa matajiri wanaomiliki mitumbwi ya dagaa Au sangara kwanzia 20 na kuendelea wanakuaga hatari sana hawa jamaa, wanakuaga na ukatili fulani ivi hata wanavyoendesha shughuli zao za uvuvi.

Hii inasababishwa sana na aina hiyo ya biashara wanayoifanya ukiwa legelege ndani ya mwezi mmoja tu unageuka masikini, wengi huwa ni wakorofi na kambi zao zinaogopeka hii huwasaidia kuepuka wizi wa fedha na Mali zao

Pia wanapenda sana maswala ya waganga, mganga anaweza kusikilizwa kuliko mke
 
Oswayo namfahamu vizuri Sana ana wake 4 na huyo mwanamke alikufa hakua mwanamke ila alikua KAHABA .Jamaa alivomuoa alimpa miladi ili ambdilishe aache ukahaba matokeo yake yamekua kifo.
Acha uzwazwa wewe! Unataka utengeneze habari tofauti, video zipo mitandaoni zikionyesha siku wanafungishwa ndoa na shehe wewe vepi?
 
Mwanamke gold digger monster usimjengee nyumba na kumfungulia biashara we mpe Hela then nenda naye mkale Bata akitaka biashara we danganya tu Hela ayoitaka kwa mwezi utakua unampa asijisumbue sana hutaki ateseke then ukimpa Bata tena inaisha atatunza kidogo kwake ataona nyingi hata akiomba talaka unampa tu Sasa ndo aende akafanye hiyo biashara aone mziki wake na biashara Ile mtaji Sasa wewe unamjengea nyumba mbili na gari unamnunulia na biashara juu akiomba talaka lazima tu uchanganyikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…