Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Kuna demu mmoja pisi kali wa kizenji nlikua naye miaka ya nyuma Zenji kuna siku kaja gheto akaanza kuniletea drama za kunisifia baadae akachomekea mdogo anaumwa kwa hiyo hatokuja atalala naye kwake, machale yaka ncheza kwa zile sifa alizonimwagia, nikaamka mida kama ya 5 usiku nikamnyatia hadi kwake dirishani nikamchungulia nikakuta kavaa night dress na bikini anaangalia bongo star search, akapokea simu ya njemba inakuja inataka ifungiliwe geti izame mi nikabonyea jamaa kaja mpaka mlangoni geti likafunguliwa akazama nikarudi tena dirishani nikamchek jamaa kakaa kitandani anaomba maji aoge dah nikasema huyu kum ..a kumbe ndio mishe zake mapigo ya moyo yalienda mbio nikatamani kuzikunja nondo ni zame ndani.... nikaona nikiondoka bila kumstua kua nimeona kila kitu kesho atakataa nikamwita akaitika nikamwambia nimekuja kumwona mgonjwa akakimbilia getini akaniambia mgonjwa amelala nikamwambia acha ukum..a nimeona kila kuanzia kesho tusitafutane nikasepa..cha ajabu yule mzenji akawa bado analilia anaomba msamaha nikaona sio issue huyu ngoja nimchukulie kama malaya nikaanza kumla tako akazidisha wivu nika wabandua shoga zake wanne lkn wapi haniachi akanipa mln 3.5 ni mnunulie kiwanja ili awe karibu namie hadi leo nikimuhitaji anakuja namfanya matusi anasepa hawa mademu sio kuwa nao serious sana utaua au kujiua bure
Hivi haya nayo ni mambo ya kujisifia hadharani?

1. Kuzini

2. Kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile

3. Kuzini na marafiki zake wanne

4. Kuendelea kuzini naye

NB: Kuna wavulana na wanaume ...

Wapo watakaokusifu na kukupongeza kwa hayo, hao pia ni wavulana wenzako, wanaume hatupo hivyo, na hii haina maana tumetakasika na uovu

NB: Una uhuru wa kuandika utakacho, na una uhuru wa kupuuza nilichoandika pia [emoji1691]
 
Hivi uingize kichwa cha binadamu kwenye draya saa nzima huo ubongo unaweza kubaki salama?

Fuatilia kwa makini wanawake wanaonyoa nywele vipara na wanaonyoa kawaida na kutumia mafuta ya nywele tu kuna siri utaigunduwa.
Ha haaaaaaa haaaa!umesahau kichwa hichohicho kinakaa na nywele miezi miwili bila kutiwa maji,wanaogopa kuharibu nywele za plastic....Najishukuru kukubali kunyoa nywele zangu..
 
Huyu mwamba km alifikia point of no return halishindwa vp kumaliza show na huyo ex wa mkewe ili wa rest in threesome?
 
Wakwe wa Siku hizi wanatoka out na wakwe zao Wanaenda kula Monde pamoja, imagine that!
...Nyinyi Wenzetu mmewazoesha vipi Wakwe zenu kiasi anaweza kuendea Hewani na kusema Shombo???
Mimi Zaidi ya Kusalimiana Kwa Heshima, hakuna Cha Zaidi!
Na akiniona nimekaa Sebuleni Anatenda kukaa jikoni na Mwanawe!!
Ndio Wakwe zetu hao wa Kizamani wanaojua Nafasi Yao!
Hawa Wenu wa Kislku hizi ambao Mkwe anakaribiana na Mwanae, Mkeo, kiumri, Shida Tupu!!
 
Hamna jina la kiislam laiiutwalo Swalha..

Salha neno la Kiarabu maana yake ni mtu mwenye heshima,mtu anaejiheshimu
Mbona Kuna neno nasikiaga wazee walioshika dini wakijibu "Swalamaaa"badala ya salama?ndio maana swalha badala ya Salha
 
Hahaah ya jamaa inatumia ile system ya zamani yaan unawezeka risasi moja moja kwenye rlover ukipress trger inazunguka hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yani ya zamani mnoo, hata mvuto haina.
 
Hahaah ya jamaa inatumia ile system ya zamani yaan unawezeka risasi moja moja kwenye rlover ukipress trger inazunguka hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nenda Tanganyika Arms wana vitu vya ukweli, mie nilichukua Beretta Pxs Storm 9mm kwa Milion 4.5.
 
Unaelewa utaratibu wa kumiliki silaha? Au unadhani kama unavyobadili simu tu unatumia Samsung ikitoka Iphone macho matatu unanunuwa unaweka line twende kazi.

Una uelewa wowote hata ukitaka kubadirisha pistol uliyonayo unafuata utaratibu upi? Una uelewa wowote au unafurahisha genge?
Nikuulize wewe unaefurahisha genge, nina Marker4 na Shotgun niliyorithishwa na mzee wangu kihalali kabisa na pia nina Beretta Pxs niliyoinunua kwa pesa yangu pale Tanganyika arms. Na vyote vipo kihalali hadi hati safi ninayo.
 
Back
Top Bottom