Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Inasemekana hakudhamiria.....
Jiwe alikuwa na hasira sana siku hiyo.... Sasa akaenda kwenye vyumba akiwa anatafakari.. Sijui alikunywa nn akatoka huko macho mekundu...

Sasa akachomoa mguu wa kuku huku anamfokea dogo.. sasa kumbe kitu kipo chamber.. Kikafyatuka...

Ndio maana tunashauriwa ukiwa na hasira sana usiguse machine... Unaweza kumtoa mtu ubongo bila kutarajia
 
kuna kijana alikamatwa Muhimbili na genge la yule muuaji Magu ( alijitengenezea kundi la wauaji nje ya mfumo) bahati baada ya mateso makubwa huko kwenye safe house zao nadhani mikoa ya Mtwara wakaona walikosea hakuwa yeye waliye mkusudia wakaja kumtupa usiku maeneo ya Mbagala..Yule dogo akikusimulia ukatili waliokuwa wakifanyiwa huwezi kabisa kumsifia yule Mzee.
Alituambia alimuoana jamaa flani ambae kwao alipotea alimkuta kule kachakaa kwa kichapo na kweli baada ya kama wiki mbili mwili wa jamaa ukaokotwa COCO BEACH kwenye gunia.
Yule kijana mpaka leo yupo maeneo ya Muhimbili anawafanyia wagonjwa maombi na Dua.
Kile kifo ilikuwa ni nguvu ya maombi na vilio vya wahanga ndio maana alikufa kwa shida hadi kujinyea
 
Mabaya yametendwa mengi sana, lakini hili la mwenye dhamana mwenyewe, anayeheshimika kama kiongozi wa watu na mlinzi wa wote kutoa machine na kummwagia njugu raia wake? Hili ni zaidi ya wote.
Sidhani kama tokea Julius hadi Jakaya kama tulifikia huko
Kama ni kweli Hiyo ilikuwa ni mbaya sana. !! Je katiba inasemaje kuhusu hilo ?? Maana ilikuwa palepale akamatwe !! Au ??!
 
Miradi inayozinduliwa sasa hivi, iliyoanzishwa na huyo mwendazake hamtaki makamu asifiwe..[emoji28][emoji28]

Kwenye ukatili wa Magu mnataka ashughulikiwe aliyekua makamu [emoji23][emoji23]
 
Sisi jpm tulimpa go ya hata kuua kwa sababu alikuwa mzalendo na mzalendo ana ua wahuni tu wa taifa ...sasa mtu kama msoga angeuliwa wote tunge furahi sana ....siyo kila mtu ana stailik kuishi.
Nlishawahi kusema sehemu kwamba, Wafuasi wa Magufuli mlipata raisi ambae ni muwakilishi wa roho zenu za kikatili zilivyo, Kupitia yule mzee nmefahamu tunaishi na watu wengi wenye roho za kikatili sana, wasiojali utu hata kidogo.
Mtu akihoji auwawe, akipinga auwawe, Akitoa malalamiko auwawe,

Kwenu mauaji, umwagaji damu ni sawa.
 
Haya tumekusikia wewe mtakatifu muuza ngada wa msoga ...maana kwenu kuua vijana kwa madawa ya kulevya ni wema
 
Sasa kama unajua kila kitu,na waliohusika,kwa nn unasema alipotea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…