King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Logic ni nyepesi tu mbona mbowe siku hizi kamyamaza kabisa hataki hata kusikia habari ya ben saa8 ...tena ukimtajia tu ilo jina anaweza kukupasua na chupa ya konyagi
MAKENZI alifanikiwa sana kupandikiza Chuki yaani unabwabwaja pasipo kufikirisha ubongo hata chembe.