Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Hiyo ni taarifa tu, sababu za kukamatwa kwake hao 'polisi kanzu' ndio wanajua.
Yeye mleta mada alitakiwa kujua kabla ya ku post

Moderators jamii forums msiishushe hadhi ionekane kama sehemu ya majungu na tetesi

Hii mada ipelekeni kwenye tetesi kama mleta mada hana akijuacho
 
Huyu jamaa atakua kuna issue moja kafanya ya hatari sana wacha serikali imfinye kidogo atasema.maana tangu juzi analalamika kuna maafisa wa uhamiaji wanamtafuta na wanapanga kumuua. Kaambiwa aende akaripoti polisi hakuwenda. Wacha tusubiri tutajua mbichi na mbivu.
 
Si kasema kuna jamaa wa uhamiaji wanapanga kumuua kwenye group la WhatsApp sasa ngoja akatoe maelezo vizuri huko polisi.
Mleta mada hajawatendea haki immigration

Jamii forums mihabari kama Haina cha kuongea kwa nini mtu kakamatwa pelekeni kwenye tetesi zikiwa proved ndio muweke jukwaa husika
 
Si kasema kuna jamaa wa uhamiaji wanapanga kumuua kwenye group la WhatsApp sasa ngoja akatoe maelezo vizuri huko polisi.
Uko sahihi
Uhamiaji wana madhaifu yao ikiwemo ukiritimba utoaji Passport vigezo vya kuomba Passport wanatumia vya kuomba visa !! Nimewapigia kelele humu sana kuwa mtu anaenda nchi ipi kufanya nini waachie balozi za watoa Visa sio kazi yao

Passport haki ya kila raia mwenye vitambulisho cha taifa

Ila kwa hilo la Waikili nasimama na Immigration

Mleta mada hajawatendea haki immigration wala polisi
 
Yeye mleta mada alitakiwa kujua kabla ya ku post

Moderators jamii forums msiishushe hadhi ionekane kama sehemu ya majungu na tetesi

Hii mada ipelekeni kwenye tetesi kama mleta mada hana akijuacho
Ni Emergency taarifa za kina zitafata. Hizo ni za awali.
 
Huna hoja.
 
Huyu wakili huwa kama ana kichaa hivi, anahitaji kupelekwa mirembe, limekaa kipumbavu pumbabu tu
 
Ni Emergency taarifa za kina zitafata. Hizo ni za awali.
Kihabari haiko sahihi ndio maana Tanzania waandishi wengi wa habari vigumu kupata kazi mashirika ya habari ya kimataifa kama CNN,BBC nk wako very shallow

Pia vyama vya upinzani ngumu kuaminiwa kimataifa sababu wako shallow kujenga hoja

Chadema ilipata wafadhili wengi Ulaya na Marekani kipindi cha Dr Slaa sababu alikuwa na evidence akituhumu Serikali anashusha ushahidi hadi basi

Chadema sasa hivi kazi kurusha umbeya kwanza hawajui kuwa taarifa ya kwanza ndio ya muhimu inabidi abebe ushahidi na taarifa za uhakika

Wao wanaweka breaking news za kibwege zisizo na taarifa za kina ni utoto
 
Hiyo avatar yako ndio huyu baba mkwe wa Chibu Dangote?
 
Tatizo polisi kwanini wakatae kuwa hawajamkamata wkt wamemchukua pale Serena.Tujue km wanae wao sbb tutazijui hapo.
 
Umehamia kwa CDM tena?
 
Huyo jamaa asitegemee mafanikio yoyote kupitia hao cdm ameacha kazi ya serikali kwaajili ya ushawishi wa cdm siasa za upinzani za hii nchi ni za kukurupuka na kukandia viongozi wa nchi pia bado ni mchanga sana kwenye sheria bado mweupe kabisa hana expirience ya legal practice kabisa kinachompa kiki ni sehemu alipotoka basi.
 
Wewe kweli kiazi jitahidi uwe msomaji zaidi kama kitu hukijui au humjui mtu husika.samahani kwa kutumia lugha ya kukera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…