YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Yeye mleta mada alitakiwa kujua kabla ya ku postHiyo ni taarifa tu, sababu za kukamatwa kwake hao 'polisi kanzu' ndio wanajua.
Moderators jamii forums msiishushe hadhi ionekane kama sehemu ya majungu na tetesi
Hii mada ipelekeni kwenye tetesi kama mleta mada hana akijuacho