Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
Mkuu icho kifaa kipya kinatoa ushirikiano????
 
Loh! Nyie ndo walewale ukianza gemu unamlamba mtu mwli mzima kama nyoka, akitoka hapo mtoto wa watu ananuka mate mwili mzima, sasa ataacha kuuliza tutarudia tena mana akifikiria shurba ya mate hamu hana...[emoji16]
Hahaha...
 
Yawezekana kweli unahudumia pesa vizuri tu. Ila sasaaa......hautii mzuka hivyo hata mtu kujishughulisha anaona jau. Anaona hako kamoja kanakutosha tena yawezekana ni ile ya funika kombe..
 
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
Ulikuwa spair
 
Kama nahudumia I expect effort!

Usipo onyesha jitihada huduma zinahamia kwa mwenye jitihada.
 
Yaani ukiona demu hajitumi au baada ya bao moja hataki Tena ujue huna swaga zinazomvutia yaani kwenye romance hujamsisimua, kwenye game nako hakuna lolote. Unashindwaje kumbinua mwanamke utakavyo?? Yaani mapigo yako lazima yampe mzuka
Mbona kama najitahidi au tatizo kweli liko
kwangu?
 
Back
Top Bottom