toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Jesca ni mnoma sana.....Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Haha shentembaa enzi hizo nakaa Hanna Nassif shentembaa ilikuwa nooomaWewe utakuwa mgeni jijini Dar es salaam,kuna bar zilitamba eg Kwa macheni,Shentembaa,Criss burger,Igongwe
Acha tu namkumbuka mshikaji wangu Ali Kilinda R.i.P,Haha shentembaa enzi hizo nakaa Hanna Nassif shentembaa ilikuwa noooma
Daaah mitaa ile washkaji wamedondoka, R.I.P vijana wa brazil, studio, wazungu wa unga na maeneo yote ya pale..juz nimepita pale kwa kina kigogo(T.I.D) jamaa kalewa kinoma nlicheka hahaha...Acha tu namkumbuka mshikaji wangu Omari Kilinda R.i.P,
Kwisha habari yake, uchumi wa Arusha uliyumba sanaVipi matako baa nako kukoje sikuhizi.
#MaendeleoHayanaChama
Enzi hizo kulikuwa na Pisi za hatari sio mademu wenu wa siku hizi Facebook na matako yao ya chinaDaaah mitaa ile washkaji wamedondoka, R.I.P vijana wa brazil, studio, wazungu wa unga na maeneo yote ya pale..juz nimepita pale kwa kina kigogo(T.I.D) jamaa kalewa kinoma nlicheka hahaha...
Kipind kina fina mango wa moto ile mbayaaauEnzi hizo kulikuwa na Pisi za hatari sio mademu wenu wa siku hizi Facebook na matako yao ya china
Huyo sio mjinga, huyo ni mcongoman, baba yake ni yule Mzee aliimbaga inua mkono juu kitambaa cheupe, alotokeaga zaireeHyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni moja tuu,mama anaupiga mwingi pesa ipo..Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Hamna cha kafara we fungua bar mpya jaza malaya bia hata ukiuz elfu kum moja hamna atakaelalamikaYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Bila shaka ulienda Meridian Hotel muelekeo wa Mwananyamala. Wameiboresha siku za karibuni.Ila hii biashara ni pasua kichwa nyie. Ile Iddi pili nilienda bar moja ipo Manyanya chini ya papii churo. Palikuwa na band na ilifika muda tulikuwa wateja wanne, watu kumbe walikuwa wanajuana wakaondoka kwa mpigo, nikabaki peke yangu band ikaniimbia wimbo mmoja wa mwisho kisha wakanishukuru sana ndugu mteja, akaja DJ.
Nilivyoenda bar ya mbele pale karibu na kituo cha mafuta nikakuta nyomi mpaka siti za kutafuta.
Yaani maumivu ya hii biashara inakufia huku ukijua aliyekuua ni fulani.
Hao ni washirikina sana.Liongo wewe
China bar ya Msewe au?Hivi China bar iliishia wapi?
Miye nafuata mziki tuu mkuu.Mbona hizo club mnajaa hata nyie wanywa mirinda nyeusi? Afu pakifulia na nyie mnasepa mnafataga nn
Doooh huyu Mwamba kafa lini? Aliimbwa sana na FM ACADEMIA enzi hizo... Nilikuwa nakutana naye Sterio Kinondoni MoscowAcha tu namkumbuka mshikaji wangu Ali Kilinda R.i.P,
China Bar ya Tegeta? Ilikujaitwa Ghuangzou, Sasa hivi inaitwa 2 in 1 (Twuu ini wani) Frank aliichukua jina lake,Spika 4,Tv zake 3 na Kochi 2Hivi China bar iliishia wapi?
aisee chaka langu hili weekdays jumanne kuna watoto wa uswazi balaa hao uwa tunapita pita siku moja moja kwa wale wapenda watoto local wapo wengi sanaAcha kufananisha kitambaa cheupe na vitu vya hovyo... Sasa tip top bar pale kuna nn ?
[emoji23]Kuna chimbo moja liko Himo njia panda sikumbuki jina ila misiba yote ya Kaskazini lazima ikutane hapo night then asubuhi kila mtu anasepa kivyake.Watu wanakula bia Mpaka maiti zinashangaa yaani mwenye ile chimbo kawini.