We Kweli mkongwe, joh alikuwa anakaa Ile gesti pembeni ya meeda ya buku kumi tulikuwa ukibeba mlupo unapeleka mle ndani ana parking kubwa short time kwenye parking unampa mlinzi buku 5.Meeda ilikua balaa nakumbuka joh makini katoka chuga akapanga nyuma ya meeda bas deile lazima umkute hapo akichomoka anabeba mlupo anaenda nao ghetto
Tafuta ela bwasheeYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Hyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda sinza uone unavopigwa bastolaKama unataka kuibiwa simu na kuvunjiwa kioo cha gari we nenda
hapo park kuna totoz kibao za Ud
dolari yako tu
Hizi zimeshapoa kitambo, kuna Dance Club nae amawachukua kiasi chake.Calabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
karibu na SOS Ubungo, pembeni mwa Sam NujomaIko sehemu gani pale?
Hata pale Java Lounge Banana nlisikia walizika mtu nlikua siachi kwenda ila nahisi huyo mtu kafufuka maana hata kukaribia sitakiYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Eh maison balaaMaison hatari sana. Kuna watoto wakalii mpaka unajiuliza hawa mbona huwa siwaoni uraiani?
Halafu huko sasa ndo linaliwa bata kweli. Watu kutumbua m1, 2 ni kawaida sana pale sio tbt mtu kunywa bucket ya castle lite nae anavimba
Meeda ilisumbua sanaMeeda ilikua balaa nakumbuka joh makini katoka chuga akapanga nyuma ya meeda bas deile lazima umkute hapo akichomoka anabeba mlupo anaenda nao ghetto
Hahaha umenifanya nichekeWanywaji bia wako very complicated wakiama wanahama kama nzige na wakiamia ni hivyohivyo pia.
Mm sahv napiga safari ndg 5 na konyagi ndg tuHata mimi nilivyosema hivyo mwaka juzi.
Sahivi nipo na viserengeti lite hapa n
Malaya lazima wawepo hizo sehemuBar nyingi zinakufa kwa kuruhusu Malaya wauza uchi wakae hapo kuvizia wateja walewe
Mm sahv napiga safari ndg 5 na konyagi ndg tu
Gage imepungua sana
Ova
muwe mnakujakuja maeneo ya New Africa Casino siku mojamoja au kwenye wine party Hayyt pale.....sasa unakwenda kulewa umeshikilia mtako wa mtu inakuja picha huku JF hakuna privacy kabisa.....