Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Ni ushirikina mkuu , nina uhakika wa hilo, 99% ya wamiliki wa mabar wanatumia ushirikina kuvutia wateja sema wanazidiana ujanja na wengine wanakosea masharti hadi bar zinakufa kimaajabu.
Asikwambie mtu hizi biashara za mabar zinashirikisha uchawi na ushirikina mkubwa sana , nimeshashuhudia live ulonzi unafanyika kwenye bar tena sio moja,
Tiririka mkuu
 
Back
Top Bottom