Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Sijui shida ni nn?
Kweli kuna watu wana roho za kichawi, inasemekana ni Ile buku 5 alizokuwa anachaji mlangoni.., ukifanya mara 1000 kwa siku anaingiza kama milioni 5, acha faida ya mauzo ya vinywaji, sasa inaonekana kuna watu wa kitengo wametaka mgao wa mapato..; mwenyewe kaona haiwezekani, bora tukose wote
 
Back
Top Bottom