FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #361
Kweli kuna watu wana roho za kichawi, inasemekana ni Ile buku 5 alizokuwa anachaji mlangoni.., ukifanya mara 1000 kwa siku anaingiza kama milioni 5, acha faida ya mauzo ya vinywaji, sasa inaonekana kuna watu wa kitengo wametaka mgao wa mapato..; mwenyewe kaona haiwezekani, bora tukose woteSijui shida ni nn?