Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?

=========================
01/03/2023
Update: IMEFUNGWA

=========================
Tetesi:
04/03/2023 - Jumamosi, Panafunguliwa
Picha ya hapo pahala tupajue?
 
ndio maana watu wengi wanakufa masikini kisa walio fanikiwa ni wa chawi
 
Back
Top Bottom