Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

maswala ya kiimani hayajawahi kueleweka kwa urahisi hata kidogo ukiyawaza katika hali ya kimwili unaweza jikuta umetafunwa porini kana.
 
Unazungumzia dhana ya utawala wa kutumia nguvu (physical power). Kwa hili hata mtoto wako atakushinda nguvu.

Nguvu ya akili (mental power) ina thamani ya juu katika utendaji kuliko nguvu ya kimwili. Na hapo ndipo Kuna utawala wa mwanadamu kwa wanyama.

Risasi moja au sumu ya mia tano inaweza zima nguvu za kimwili za Simba ndani ya sekunde chache.
 
Hakika tutamfanya kitu mbaya sana
 
Mkuu umenikoroga
 
Mkuu kwenye mnyazi mungu sipo ila kwa bible naisadiki 100% japo sifuati mafundisho kwa sababu zangu binafsi za kukengeuka
Acha kufungwa ubongo izi dini tumeletewa Africa ivi vitu atukuwai kuwa navyo kabla. Ndio maana wao tu wenyewe uko wanapishana we tufate mkumbo wa wazazi kukwepa laana ila dini saivi ni mchongo kaka amini kwamba.
 
Maandiko yenyewe yanakinzana sasa apo tuelewe kipi. Uku kula nguruwe uku usile. Uku lewa uku usilewe yaan ni kutuchanganya tu bila sababu
We amini Mungu na utakatifu najua dhambi hufundishwi bali wewe tu mwenyewe unajua kuwa unatenda baya
 
Ukiuwawa na simba au mbwa ni uzembe wako wewe binadamu mwenye akili na maarifa kuliko hao hayawani.

Ukishindwa na shetani na mapepo yake ni kwasababu ya kukosa imani na kushindwa kutumia mamlaka yako ya kimungu yaliyo makubwa kuliko hao vibwengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…