Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

Ukiona hivyo huo ni muuzaji, anaforce kukuuzia.

Atajifanya hana ya kukulipa na kukuuliza tunafanyaje sasa, kifuatacho ni kutafunwa.
Ni nature mkuu wanawake wote kiasili wanaamini kwenye uchi wao , mwanamke ukimfanyia hisani au msaada wowote,kitu cha kwanza kinachomjia kichwani ni kukulipa uchi,

Mwanamke uchi anauamini ila hauthamini.
 
Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?
 
Ni nature mkuu wanawake wote kiasili wanaamini kwenye uchi wao , mwanamke ukimfanyia hisani au msaada wowote,kitu cha kwanza kinachomjia kichwani ni kukulipa uchi,

Mwanamke uchi anauamini ila hauthamini.
word.......
 
Unajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.

Inawezekana amepewa hela ila akaibana ama ameitumia.

Kuna mmoja alipewa elfu 6 apande bajaji, ila mwanaume alipoondoka, akashuka kwenye bajaji akapanda daladala.

Wanawake wana tabia ya kubana pesa kwa matumizi mengine
 
Majibu ni mawili tu hapo kama nitakuwa nimeelewa vizuri maudhui ya mada hii:
1:shida haina adabu.
2:ukikua utajua kwanini mke anaenda kukopa kwa watu baki.
 
Ni jamba, hapo utakuta kila mtu na lake?
 
Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?
Urahisi unakuja pale anapodaiwa,angekuwa hadaiwi pengine laki ingekutoka,hebu fikiria mwanamke anakazwa Kwa kupewa lift ya dakika 20,
Au kumsetia kitu kidogo kwenye iPhone yake.

Hujui kama kuna watu wamehonga magari ila wanashare na anayeweka mafuta ya 50k.

Au kimasikini unajitutumia Kwa kumnunulia Ka iPhone ili naye asipitwe huku wewe ukitumia Google pixel kutwa kuisifia huku ukijua iPhone ni Dunia,lakini kuna vibishoo vinarusha bundle na mnashare
 
kunae huyo rafiki angu utamskia naomba nikopeshe elf 10 niongezee nikajaze gesi,,, na hapo ana mume na watoto wawili na mume wake ni muajiriwa serikalini unabaki unajiuliza hivi anamaanisha au anatania ,,
 
Mara nyingi wa namna hii wanakuwa washamkopa sana hata huyo mume kiasi kwamba inafika muda anamuonea huruma kuendelea kumuomba pesa na mbaya zaidi pesa zenyewe hazielewek anafanyia nini.
 
Ficha siri za watu kijana, mpaka anakuja kukopa kwako ni kwasababu kakuamini kua huwezi kumdhalilisha wala kumdhania vibaya na kumtangazia mbele za watu.

Hutaki kumkopesha mchane kua hutaki, umepata gagaziko muulize mwenyewe huyo mumewe namna gani vipi hadi aje kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…