#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

Ndo maana nimekwambia, wewe ni daktari uchwara.

Kwanza huna maadili ya kazi, lakini pili unaonekana wewe ni goigoi wa kitaaluma.

Sijui ni daktari wewe? Ama nesi?

Hata lugha yako tu inaonesha ina utoto na ujinga ndani yake.
 
Ni ujinga,tu na upumbavu hakuna Corona wala nn watu wanadanganyana tu uongo uongo
 
Mkuu hiyo shida ya kushindwa kupumua kweli inasababishwa na pneumonia au ni kitu ingine, kuna hypothesis kwamba korona haiathiri mfumo wa upumuaji pekee, bali inaweza kuwa na madhara kwenye viungo vingine, hasa kuathiri mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja na kuganda.....je, aspirin inaweza kuwa na msaada, kule India walikuwa wanatumia ivermectin kutibu wagonjwa ingawaje haijaidhinishwa na WHO...
 
lina UKIMWI ,sasa limepata HIV Encephalopathy.. Virusi vimeshalifikia kwenye ubongo, linataabika ndio maana linabwabwaja.
Bwatuka tu kama ng'ombe!

Nitakuwa nakumulika kwa karibu sana wewe nesi uchwara usiye na maadili.

Hata wanaoumwa UKIMWI wanastahili kutunziwa faragha za magonjwa yao pia.

Lakini kwa kuwa uliajiriwa kimagumashi na mavyeti ya kuokota, ndio maana sishangai kuona huna maadili ya kazi.

I will trace your little stinky ass and watch you closely. Nitakubaini tu.

Na nikikubaini.... Hiiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha... utatambua kwamba hii dunia ni ndogo kama ndulele.
 
Mkuu, nina siku ya 6 leo napambana na huyu Delta Variant. Mbali na ile cocktail ya Amoxyclav,Azuma,Loratadine,Zinc,PCM nasikia kuna hii hapa[emoji116] pia inatumika. Je ina uhakika ama ndo nikimeza nitakuwa nabwia sumu?

 
Hilo la hao wenye magonjwa mengine hivi takwimu zao za vifo zikoje before corona? Yani hao watu wenye 40+ kwa mwaka walikuwa wanakufa wangapi kabla ya ujio wa huu ugonjwa wa corona?
 
Hata Bongo tunatumia akina Ivermectin, akina carbidopa-levodopa, akina rivaroxaban , akina ma-vitamin n.k n.k

Madawa ni mengi kwa kuyataja !!


Pneumonia inaweza kua Viral/Bacterial/atypical .


Nikweli Corona anafanya damu kuganda ndio sababu tunatoa rivaroxaban ambayo inatumika kwa pamoja na akina Aspirin ,kuzuia Damu kuganda.
 
Mkuu achaneni na malumbano na huyo daktari, sioni kama yanaleta tija yoyote hasa yanapohusisha unyanyapaa kwa wagonjwa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahaha falaa sana, wewe ni mbwaaaa pakaa tu kwangu.

Nikuelekeze nilipo???
 
Mkuu kama wewe ni daktari hii stigma kwa wagonjwa sidhani kama ni jambo la kimaadili.....nafikiri bora ungeachana na malumbano na huyo jamaa..
Mkuu usiku mwema.


Kikubwa yale mazoea yalokuwepo na Imani juu ya UVIKO, watu waache, watu wachukue Tahadhari zote kujikinga.


Hali sio nzuri.
 
Mkuu umenena vizuri Sana. Yaani na Liwizara la Afya lipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…