chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Chadema tutamsajili. Baada ya kumfanyia ubatizo wa maji mengi kuondoa uchafu aliokuwa nao akiwa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulipokuwa tunamshauri nape akae kimya ilikuwa ni kwasababu ya comment kama hii...mtu huyu ndo mmoja ya wale ambao walikuwa wanasema nape sasa ''amepata akili''. akishafukuzwa haya ndo yatakuwa maneno yao!
Watu wasiojulikanaJamani SA palikuwa na mtu anaitwa Malema aliwapa hard time viongoz wa Anc lakin alivuliwa uwanachama kiuhalisia Malema is very smart than Nnape sasa mim nauliza kama kweli Nnape amevuliwa uwanachama mbona sina uwakika kama ataweza kufurukuta mtaani maana atakuwa kakatwa miguu na mikono bd thing hayupo smart nawambia let us nbe cool Nnape hawezi kukivuruga chama nawaambia hawezi na ninauwakika huu ndio mwanzo wakuimarisha chama.
Mie nimekumbuka oil chafu.Nape huyu huyu wa bao la mkono? Hahahaaaa wacha atimuliwe tu maana ana maneno mengiiiiiiiii!! Hasa nikikumbuka 2015 .
Mie nimekumbuka oil chafu.Nape huyu huyu wa bao la mkono? Hahahaaaa wacha atimuliwe tu maana ana maneno mengiiiiiiiii!! Hasa nikikumbuka 2015 .
Inasemekana Lakini,Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....
Mod msiutoe huu uzi,habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...
tutampa pesa anayotaka. nape ni kama neymar akija chademaAtanunuliwa na wale
Kiiza say it all, kuna uzi umemtaja nape !Kama unajua leo kuna kikao gani basi jua leo watu wamegalagazwa.......ila mwenye habari kamili alete japo kikao bado kinaelekea ukingoni!