Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
 
Attachments

  • VID-20240818-WA0033.mp4
    1.5 MB
  • VID-20240818-WA0030.mp4
    1.1 MB
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Kuna siku zitafika hata hao maaskari na watu wasiojulikana watahamia upande wa wananchi
 
We continue to condemn the regime's ongoing persecution of innocent citizens and demand their land…
#Justice for Maasai
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Naona serikali inajitahidi kujisahau namna ya kutatua mitafaruku kaa njia chanya za amani
 
Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Kwamba Serikali hii inaamini wamasai wenyewe hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe, hii ni dharau ya kutisha sana!
 
nashauri watafutwe ,na wafikishwe mahakamani kwa kosa la kukusanyika bila kibali, pia imefanyike cost analysis wawalipe wawalipe wameliki wa makampuni ya utalii. Serikali ndiyo inapanga matumizi ya ardhi kwa vizazi endelevu. Mbona wananchi wengi wamehamishwa kupisha miradi ya maendeleo nchi nzima kwanini wamasai ndiyo iwe ngumu?.
 
Leo hasara ilikuwa kubwa sana. Lkn wakae tu mezani
 
Nyie mnaosema wakamatwe acheni
nashauri watafutwe ,na wafikishwe mahakamani kwa kosa la kukusanyika bila kibali, pia imefanyike cost analysis wawalipe wawalipe wameliki wa makampuni ya utalii. Serikali ndiyo inapanga matumizi ya ardhi kwa vizazi endelevu. Mbona wananchi wengi wamehamishwa kupisha miradi ya maendeleo nchi nzima kwanini wamasai ndiyo iwe ngumu?.
Kibali cha wapi nyie wezi?
Mnataka kujitia nchi ipo kwenye uongozi wa kisheria kumbe uhuni tu.

Wangeomba hicho kibali wangepewa?
 
Back
Top Bottom